PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
John sanga ni mchoraji mzuri.
Siku alichora noti ya sh elfu kumi chini ya sakafu mbele ya darasa..
Mwalimu akapasuka pua kwa papara ya kuiokota ile elfu kumi chini..
So kuuliza wanafunzi nani kachora.. wakasema John..
Ticha akampigia mzazi wa John (babake)
Baba John huku yupo hospitali..
(akamwambia mwalimu)
Una bahati sana ww, huyo mbwa juzi nyumbani kachora uke wa mwanamke kwenye switch ya umeme...
John namgawa bure.