warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Hivi huyu bidada alishawahi kuimba before ? Maana mmh hii ngoma yake kwa kweli ni next level , sijawah kumpendaga huyu dada Ila kazi yake hii mpya , warumi ntakua mchawi nisipomsifia bwana , dada wa watu anajua kuimba
Yani katika Ma ex wa domo wote waliojaribu kuimba; Zari, official lyn , hamisa hawa wote wabadilishe tu fani wamuachie mrs domo asakate rumba.
I'm liking the idea of her using diamonds fame as a weapon to boost her talent , and I'm sure she will go miles away, huyu ata akiachwa atleast atakua kafika mbali kimziki
Vanessa mdee kaa mkao wa kula, you got your match now , Tanasha ni [emoji91][emoji91][emoji91], halafu huyu dada Hana maneno mengi , na hakanaga nyota ila kwa hii kazi Hapana aiseh anajua snaaaa