Tanasha ni mtu sahihi kwa Diamond Platnumz

Tanasha ni mtu sahihi kwa Diamond Platnumz

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Leo tuje kwenye maisha binafsi ya wasanii wetu nje ya mziki wao Tokea diamond awe na uhusiano na tanasha, mondi ametulia sana usikii sijui katoa na Nani Nampa pongezi tanasha kwa kumtuliza mondi maana mondi kiukweli kweli alizidisha kuchepuka
EKX_IwWWkAAnkvm.jpg
hata kama ni mwanaume sio kwa vile.

Tanasha ni mtu sahihi kwake cos ni mpole me binafsi napenda wanawake wapole sijui ni kwasababu me ni mpole, Hana show off, sio mtumiaji Sana wa social network alafu kingine ambacho anacho sio mtu ambaye anayejibizana na ma ex wa mondi ili lilikuwa linawashinda wanawake wengi walioanzisha uhusiano na mondi.
tanasha-1.jpg
d3.jpg
hqdefault.jpg
 

Attachments

  • tanashadonna-20190128-0002619455554-750x375@2x.jpg
    tanashadonna-20190128-0002619455554-750x375@2x.jpg
    73.1 KB · Views: 2
Back
Top Bottom