Mzee wa udaku mbona sector yako umeikimbia?
[emoji116][emoji116][emoji116]Serious mind na tanasha hawaendani ila ni unafiki tu unashika nafasi, pia mama mkwe ni gubu hataru tena bibelaaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww si ndio yule pambe kuu....
Ndivyo ilivyo utasikia mbona hauolewi? Wakati yeye kazalishwa watoto 2 yupo kwao na 34yrs na anaye mwambia ana 26yrsUnaombea mahusiano ya wenzako.
Huku Wewe upo single.. Unaombea taifaa..