Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Jamani Moto unazidi kuwaka kutoka kwenye mitaa katika kura za maoni ndani ya CCM.
Balaa nyingine wanachama wanadai walimpigia kura za ndiyo ety amekosa nafasi lakini mwenye kura zake 17 ameshinda. Mbona hapa bado tutayaona mengi jamani.
Wakazi wa Tandale jijini Dar es Salaam 'wamechachuka' baada ya kudai kuna zengwe kwenye zoezi la kupiga kura za maoni za wagombea wa uchaguzi wa serikali za mtaa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Global TV imefika eneo la tukio na kushuhudia baadhi ya wanachama wakiwa wanalalama kwamba eti wamemchangua mgombea kwa kumpigia kura 387 lakini ajabu ni kwamba aliyepata kura 17 ndiyo anayetangazwa kuwa mshindi!
Soma Pia: Shinyanga: Madiwani wa CCM wadaiwa kupigana hadharani wakati mchakato wa kura za maoni unaendelea