LGE2024 Tandale; Wanachama wa CCM wanadai waliomchagua kwa kura nyingi ajashinda lakini mwenye kura 17 ameshinda

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Jamani Moto unazidi kuwaka kutoka kwenye mitaa katika kura za maoni ndani ya CCM.

Balaa nyingine wanachama wanadai walimpigia kura za ndiyo ety amekosa nafasi lakini mwenye kura zake 17 ameshinda. Mbona hapa bado tutayaona mengi jamani.

Wakazi wa Tandale jijini Dar es Salaam 'wamechachuka' baada ya kudai kuna zengwe kwenye zoezi la kupiga kura za maoni za wagombea wa uchaguzi wa serikali za mtaa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Global TV imefika eneo la tukio na kushuhudia baadhi ya wanachama wakiwa wanalalama kwamba eti wamemchangua mgombea kwa kumpigia kura 387 lakini ajabu ni kwamba aliyepata kura 17 ndiyo anayetangazwa kuwa mshindi!

Soma Pia: Shinyanga: Madiwani wa CCM wadaiwa kupigana hadharani wakati mchakato wa kura za maoni unaendelea

"Wakimaliza kuwashambilia watageukiana na kuanza kushambuliana wao kwa wao" asee biblia ni kitabu cha kushangaza sana
 
Eti kisa MUHA MGENI WANATKA MWENYEWEJI WA PALE MZIGUA KIJIJI CHA HOVYO SANA NA CCM WAMEBALIKI UJINGA HUO
 
Jamani Moto unazidi kuwaka kutoka kwenye mitaa katika kura za maoni ndani ya CCM.

Balaa nyingine wanachama wanadai walimpigia kura za ndiyo ety amekosa nafasi lakini mwenye kura zake 17 ameshinda. Mbona hapa bado tutayaona mengi jamani.

Wakazi wa Tandale jijini Dar es Salaam 'wamechachuka' baada ya kudai kuna zengwe kwenye zoezi la kupiga kura za maoni za wagombea wa uchaguzi wa serikali za mtaa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Global TV imefika eneo la tukio na kushuhudia baadhi ya wanachama wakiwa wanalalama kwamba eti wamemchangua mgombea kwa kumpigia kura 387 lakini ajabu ni kwamba aliyepata kura 17 ndiyo anayetangazwa kuwa mshindi!

Soma Pia: Shinyanga: Madiwani wa CCM wadaiwa kupigana hadharani wakati mchakato wa kura za maoni unaendelea

CCM ina wenyewe
 
FB_IMG_1730219009463.jpg
 
Mijizi Tu hio, hapo ujue Rafiki Yangu kibwana na Salim wanahusika. Nawafahamu vizuri sana hawa
 
Back
Top Bottom