KERO TANDROADS mkoa wa Pwani, vipande vya barabara visivyo na lami Ikwiriri-Mkuranga ni hatari

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hawa jamaa, usimamizi wao unatia mashaka.

Kiusalama, hali haijakaa vizuri. Kuna vipande vya barabara ambavyo havina lami na hakuna viashiria vyovyote vya tahadhari, jambo linaloongeza hatari ya kutokea kwa ajali.

Tafadhali wekeni vibao vya usalama na tahadhari katika maeneo hayo ikiwa mmeshindwa kuweka lami kwa sasa, ili kulinda usalama wa watumiaji wa barabara.

20260519_092239.jpg
 
Pesa za ujenzi zimehamishiwa znz ...hii Tanganyika imekuwa ni viraka Tu barabarani
 
Mpina Luhaga leo kaanika watu huko wanaiba matrillion kutoka misaada, mikopo hadi bajet ya taifa. Fikiria matrillion yanaishia Dubei.
 
Hawa jamaa, usimamizi wao unatia mashaka.

Kiusalama, hali haijakaa vizuri. Kuna vipande vya barabara ambavyo havina lami na hakuna viashiria vyovyote vya tahadhari, jambo linaloongeza hatari ya kutokea kwa ajali.

Tafadhali wekeni vibao vya usalama na tahadhari katika maeneo hayo ikiwa mmeshindwa kuweka lami kwa sasa, ili kulinda usalama wa watumiaji wa barabara.

Hiyo Kilwa Road na Mbambabay Road 2030 zitakuwa hazina lami.
Trust me bro nilipita mwezi March hapo siyo mchezo.
 
Back
Top Bottom