Tandu wananiandama sana. Je shida inaweza kuwa nini?

Attachments

  • Screenshot_20241217_223549_Chrome.jpg
    Screenshot_20241217_223549_Chrome.jpg
    250.7 KB · Views: 2
Unawatengezea mazingira rafiki kwao bila kujua.
Kuna kipindi niliishi nyumba ina rough floor kwa juu nikaweka zile carpet za plastic.
Niliandamwa sana na tandu wakubwa kwa wadogo ila sikukimbilia kuwaza maujinga ya ushirikina.Niliumiza kichwa kujua wanaletwa na nini ndipo siku moja niligundua mvua ikinyesha maji yanaingia dirishani yanaenda kujihifadhi chini ya lile carpet na kwa vile ilikua rough floor ule mkapeti ulikua unatunza unyevu hata miez 2 baada ya mvua kunyesha hence tandu.

Nilipotoa lile carpet tandu walipotea.Nina miaka mingi sana sijaona tandu.
Unataka tu uambiwe umelogwa😀 ila uchawi yaweza kuwa moja ya vitu vyako au umekua na bahati mbaya yakuishi mazingira yenye unyevu.
 
Upo sahihi wadudu wengi nje wanakimbia mvua aswa kipindi cha mvua, unaweza jikuta unalala na nyoka ndani
 
Back
Top Bottom