Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Hivi ni kwamba mmezoea kututesa wananchi? TANESCO wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha kuna tatizo mpaka mtutese hivi?
Mbona hakuna taarifa? Au mmemiss kutukatia? Hizi ni hujuma na unyanyasaji. Rudisheni umeme, km kuna tatizo mbona hatuna taarifa?
Mbona hakuna taarifa? Au mmemiss kutukatia? Hizi ni hujuma na unyanyasaji. Rudisheni umeme, km kuna tatizo mbona hatuna taarifa?