S Sangamwalogesha JF-Expert Member Joined Mar 10, 2025 Posts 2,153 Reaction score 1,419 Mar 21, 2025 #1 Hivi ni kwamba mmezoea kututesa wananchi? TANESCO wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha kuna tatizo mpaka mtutese hivi? Mbona hakuna taarifa? Au mmemiss kutukatia? Hizi ni hujuma na unyanyasaji. Rudisheni umeme, km kuna tatizo mbona hatuna taarifa?
Hivi ni kwamba mmezoea kututesa wananchi? TANESCO wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha kuna tatizo mpaka mtutese hivi? Mbona hakuna taarifa? Au mmemiss kutukatia? Hizi ni hujuma na unyanyasaji. Rudisheni umeme, km kuna tatizo mbona hatuna taarifa?
vnn JF-Expert Member Joined Oct 6, 2015 Posts 3,030 Reaction score 7,500 Mar 21, 2025 #2 Tumuombe Mama atusaidie sisi wanyonge wa Arumeru tupate umeme
J Jorojik JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 6,833 Reaction score 8,297 Mar 21, 2025 #3 Sangamwalogesha said: Hivi ni kwamba mmezoea kututesa wananchi? TANESCO wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha kuna tatizo mpaka mtutese hivi? Mbona hakuna taarifa? Au mmemiss kutukatia? Hizi ni hujuma na unyanyasaji. Rudisheni umeme, km kuna tatizo mbona hatuna taarifa? Click to expand... Sasa nyie TANESCO Arumeru mnashidaje giza tena? Hamwezi kujiwashia umeme nyinyi kwa nyinyi?
Sangamwalogesha said: Hivi ni kwamba mmezoea kututesa wananchi? TANESCO wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha kuna tatizo mpaka mtutese hivi? Mbona hakuna taarifa? Au mmemiss kutukatia? Hizi ni hujuma na unyanyasaji. Rudisheni umeme, km kuna tatizo mbona hatuna taarifa? Click to expand... Sasa nyie TANESCO Arumeru mnashidaje giza tena? Hamwezi kujiwashia umeme nyinyi kwa nyinyi?
Don san tan JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 575 Reaction score 443 Mar 21, 2025 #4 ngoja kwani tununue mkuu, hamuwezi kukosa tena