nicholasmari
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 1,939
- 1,257
Hatuna deni na mama, sasa hatuelewi kinachokuliza ni niniKwanini umeme unakatika kwa siku hata zaidi ya mara 10 kuna nini? Km leo kuanzia saa 12 hakuna umeme tuko gizani, kuna nini mbona hatuelewi. Maisha gani haya ya kuishi gizani zama hizi na umeme mnatuambia upo mpk wa ziada?
Huyu alipaswa apate adhabu kabisaWe unaleta uchochezi ndani ya miaka ya mama kuna viwanda 38000 ,mikumi tena.