Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Huku Arumeru umeme ni mateso vitu vimeunguzwa mpaka watu wamekata tamaa, kwa siku umeme unakatwa hata zaidi ya mara 20.
Leo wameukata tangia asubuhi bila kujua tatizo ni nini. Ni hujuma tunafanyiwa? Huu ni mwaka wa uchaguzi kuna watumishi wa umma wanaihujumu serikali na wasiwasi huyu meneja wa Arumeru ni mojawapo.
Turudushie umeme maisha yetu ni ya ujasiriamali hakuna tonge la ugali bila umeme kwa nature ya kazi nyingi sahv