KERO TANESCO Arumeru Kwa siku umeme unakatika hata mara 20, leo umeukatwa tangia asubuhi taarifa mlitoa lini?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Sangamwalogesha

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2025
Posts
2,153
Reaction score
1,419
Huku Arumeru umeme ni mateso vitu vimeunguzwa mpaka watu wamekata tamaa, kwa siku umeme unakatwa hata zaidi ya mara 20.

Leo wameukata tangia asubuhi bila kujua tatizo ni nini. Ni hujuma tunafanyiwa? Huu ni mwaka wa uchaguzi kuna watumishi wa umma wanaihujumu serikali na wasiwasi huyu meneja wa Arumeru ni mojawapo.

Turudushie umeme maisha yetu ni ya ujasiriamali hakuna tonge la ugali bila umeme kwa nature ya kazi nyingi sahv
 
ni vizuri kua wastahimilivu na wenye subra wakati changamoto hiyo inashughulikiwa na taasisi husika.
rukhsa kutumia umeme mbadala ikiwa hutojali gentleman
 
Tulia ili 💉na 💊 iingie vizuri.
 
mpaka jioni utakua full crazy gentleman
Na kweli maana nipo hapa Capital park chupa zinashuka taratibu na Sina kazi nyingine hii weekend zaidi za ku copy na ku paste nikitoka naingia Instagram na watanzania wameshaelewa

Usisahau simu ipo full charged
 
Shida ht hawatoa taarifa, tatizo ni nini mkuu
Brother mzalendo mwenzangu kunayo hujuma, sahv tu umerudi kwa kubeep waukata tena. Rais Samia ni kichwa cha ukweli, kumfanya waziri wa nishati kuwa naibu waziri mkuu ni akili ya hali ya juu sana kutambua umuhimu wa nishati. Samia ni mpango wa Mungu, Mungu anaipenda nchi kwa kuwa bado kuna manukato yanamfikia. Kwanini hakumpa waziri wa fedha unaibu waziri mkuu? Maana yake wizara ya nishati ni muhimu zaidi kuliko ya fedha. Shida ya Dotto Biteko pengine ni upole, hajajitambua, au yupo kwenye lile kundi la genge la kisukuma kwa maana nyingine anashiriki ktk hujuma. Swali atapata nini la zaidi kuliko alikofikia? Watumishi wa TANESCO wanamdharau. Abadilike, awe mkali asicheke na hao kima, watu wa TANESCO wanakula dili na wauza mafuta, wauza majenereta hayo tunayajua. Kianzia asb mpk sahv wameingiza pesa nyingi, mijini jenereta zinanguruma sahv. Wangewasha bila TANESCO kukata umeme?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…