Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa nishati alielekeza TANESCO kuwa kama kuna matengenezo toeni taarifa kabla.
Ni jana tu tulikuwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa nishati hapa Arumeru mkoani Arusha, leo mnaamkia kutukatia umeme, mlitoa taarifa wapi?
Riziki zetu inategemea umeme, kwanini mtukatie hatujui sababu. Au ni njama za kumhujumu naibu waziri mkuu na waziri wa nishati?