Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,892
Tafadhali onyesha eneo na namba ya simu kwa ufatiliaji na hatua zaidiKaribia miezi 6 sasa Tanesco Arusha wamekuwa wakikata umeme kila siku. Imefikia mahali sasa suala la kukatika umeme limekuwa la kawaida, yan wanaturudisha nyuma kipindi kile cha Lowassa ambapo kila kona ilikuwa giza.
Mi ninachoomba kama kuna mgao tangazeni rasmi, kuliko kutukatia umeme kila siku. Magufuli alipoingia madarakani alijitapa kuwa mgao wa umeme sasa itakuwa historia, lakini kinachoendelea inaonyesha hamna kitu. Ni maneno ya wanasiasa tu, giza linatamalaki kila siku!!
Namba ya simu ya nini wakati mnajua mnachofanya hapa mjini. Mi nakaa Sakina. Acheni kukata umeme ovyoTafadhali onyesha eneo na namba ya simu kwa ufatiliaji na hatua zaidi
Tuma hata inbox tafadhaliNamba ya simu ya nini wakati mnajua mnachofanya hapa mjini. Mi nakaa Sakina. Acheni kukata umeme ovyo
Ya nini? Kwani simu yangu ndo inatumia umeme ama? Jambo la msingi tumechoka kukatiwa umeme ovyo. Na ajabu ni kwamba vyanzo vya umeme vinatumia maji kuzalisha umeme, na mvua zinanyesha kila mahali..Tuma hata inbox tafadhali
SASA unataka namba yake ili umteke? Kashasema arusha mjini kuna shida ya umeme wewe unakomalia namba!Tuma hata inbox tafadhali
Tafadhali onyesha eneo na namba ya simu kwa ufatiliaji na hatua zaidi