Mkuu Bluray you are consistently trying to throw sand in our eyes on the identity of Zitto wa JF na Muheshimiwa Zitto,Mbunge.
From the presentations here in the JF blog na consistency za arguments za Zitto JF it leaves no one in doubt that the two are the same.
That does not need a rocket scientist to figure out.
While presentations za Zitto JF zinaelekea kugoga mwamba wa public opinion ni vyema mkam muadvice Zitto JF akabadilika katika view yake katika suala hili au aliweke sahihi kama alivoyaka yeye.
Huwezi kutoa maoni yako publicly na ukategemea , kama mwalimu darasani ukawa quoted verbatim,thats naivety.
Ukiwa mwanasiasa ni lazima unakuwa na watu wenye diffrent opinion from your self and in the same issue,na watachukua every oppurtunity to twist or put your opinion from a different angle kama Kulikoni walivyo fanya brilliantly.
Na hii ni kuonyesha fallacy ya argument uliyotolewa.
Consistence ya argument ya Zitto JF imeonekana, na kujitoa at this late stage kama FMES alivosema is chikening out.
Sasa hizo argument for Dr Rashid as the BEST CEO IN TANZANIA ni za kuzisemea kwapani?
ZittoJF=Muheshimiwa Zitto(Mbunge) no doubt about that.
Swali linabaki, kama wewe ni mtu makini, utahakikishaje kwamba huyu Zitto wa JF ndiye Zitto mbunge?
Wewe unaongelea consistency ya michango ya Zitto, consistency ya michango hiyo na nini? Na positions za Zitto anazozitoa publicly? Kwani mtu hawezi kumfuatilia na kutoa positions similar humu?
Hata kama huyu Zitto ndiye mbunge, how can the reporter -kumbuka naongelea reporter, standards za reporter ni za juu kuliko za JF- How can the reporter prove that aliyeandika ni Zitto na si mtu aliyeikuta ID ya Zitto iko logged on on a public computer at a Mwenge internet cafe?
Umesoma story za yule Mwarabu Hassan aliyeua wanajeshi Fort Hood? Umesoma jinsi New York Times wanavyo cover his online postings? Wana predicate kila kitu na "mtu anayeaminika kuwa ni Hassan" wanapoandika kuhusu his online posts, na wao probably wana ushahidi wa ma IP address na coordinations nyingine ambazo hawa jokers wetu hawana.Hii ni due diligence ambayo sisi hatuna, na waandishi hawajali, na wasomaji wengi hawajali. And then we wonder why we are poor? Our poverty begins in our minds, with our complacency, lack of principles, bora liende, longolongo, ubabaishaji, kulipua lipua, you name it.
Hizi ndizo standards ninazoongelea, wala sijaingia katika kumtetea Zitto, wala sijagusa issues, naongela mmong'onyoko wa maadili ya uandishi wa habari.Nishasema ingekuwa sawa kama waandishi wangetumia JF kama vhanzo cha kufuatilia habari na kumtafuta Zitto kumuuliza zaidi na kupata a more comprehensive story.Walichofanya hapa ni ku cheat kwa kutofanya uchunguzi, sasa wanakuja na habari ambayo inaweza kuwa imeandikwa na Bluray instead of Zitto.
Umeona post yangu yenye njia lukuki ambazo Zitto huyu wa JF, au at least hiyo post, inaweza kuwa si kutoka kwa Zitto mbunge?
Unaelewa kwamba mimi hata sigusi kwenye issues ila nina deal na verifiability ya source? Kwa sababu kama huwezi ku verify kwamba msemaji ni Zitto, huwezi kwenda popote na hizi arguments, zinakuwa bogus, dead on arrival.
Sasa unless kuna sehemu Zitto mbunge mwenyewe, kaongelea publicly kupitia vyombo vya habari na kawa on record, other than this JF penname we know as Zitto, habari ni suspect kwa watu makini.
Kama unataka kuleta speculation that is another matter.
Mi nilifikiri tunajidai great thinkers hapa, great thinkers ndio hawa wanaopalilia mediocrity hii.
Usinifanye niombe hiyo banner ifutwe hapo juu.