- Mkuu hii verification yako ni kwa Zitto tu au kwa viongozi wote, ninachoshangaa ni kwamba Zitto ameandika habari imepelekwa kwenye gazeti, yeye mwenyewe amejitokeza hakupinga kutoandika wala kusema ila amepinga nia ya kuipeleka kule kwamba ni mbaya, sasa mnatoke watu kama wewe na kusema maneno mengi ambayo mwenyewe mhusika Zitto hakuyasema, Zitto hakusema maneno ya verification, amekubali kwamba alisema lakini yamepelkwa huko kwa nia mbaya, sasa mkuu anayechekesha ni nani hasa? Bwa! ha! ha!
- Amesema au hakusema ninaiweka kama swali ili uupande mkenge kwa sababu mwenyewe Zitto amekubali amesema, sasa nilitaka kusikia wapambe wake mnasemaje, mimi nina uhakika kwa 100% kwamba amesema tizama hoja zangu, anayejikanyaga anaonekana tena bila ya wasi wasi anapojaribu kupingana na Zitto mwenyewe anayesema amesema lakini alisema kwa nia njema ila muandishi amepeleka huko kwa nia mbaya,
- Ukiona unabishana na aliyeyasema basi huko ndiko kujikanyaga kwenyewe, Zitto amesema na yeye amekubali, Case Closed! Next time awe muangalifu na anchosema na wapi anasemea, na
However: Sio rahisi kwa politician kushindana na waandishi wa habari, ndio maana juzi Rais amewatisha, maana anaelewa kali yao kwa kua kazi yao ni rahisi sana nayo ni kuvizia tu mapungufu ya a politician aliye-pick a fight nao!
Respect.
FMEs!
FMES,
Zitto kasema wapi kwamba ni yeye aliyesema haya?
Viongozi wanaodaiwa kuja hapa JF na kuchangia kwa majina yao kwa frequency ya huyu anayedaiwa kuwa ni Zitto ni wangapi? Unaweza kuwataja?
Unachoshindwa kuelewa, kwa fikra zako ndogo zizisoweza kumung'unya kitu chochote complex, ni kwamba mimi simtetei Zitto, Zito mwenyewe anajua nishamlima sana kuanzia kwenye muswada wake wa ethics mpaka michango ya kila siku hapa.
Ninachokema mimi ni hii tabia ya uandishi uchwara kuja kuokoteza habari hapa.Sasa wewe kama unaona speculation ndiyo news, au vitu visivyothibitishika ndiyo news, sawa.
Why am I even surprised wakati tunajua wewe ndiye baba wa grapevine, umeshawaona Dilunga na Fundi Mchundo pamoja na a zillion other JF members kwenye basement ya DC. Wengine wamepata ajali na mabibi zao impossibly similarly kwenye gari etc.
In other words, speculation is in your blood, how can you understand anything that aspires to standards za verification? I am not surprised unashangaa verification ni nini, hujafundishwa hivi vitu, hujawahi kukutana navyo popote, unapasua kienyeji enyeji tu.
No surprise at all.
Ila kaa ukijua wengine hatuna chama wala dini, na hivyo tun keep objectivity, leo tunaweza kusema kitu kinachoonekana kama kumtetea Zitto (katika Machiavellian minds zisizo na objectivity) na kesho tukamtandika critiques huyo huyo Zitto.Check my record here.Kwa hiyo si fair kuja na innuendos kwamba watu wanamtetea Zitto, hiyo ina expose partisan motivations zako tu.