TANESCO: Bwawa la Nyerere halitapunguza bei ya umeme
Raisi ,waziri mkuu na waziri wa nishati Kwa nyakati tofauti walituahidi kuwa ujenzi wa bwawa la imeme ukikamilika tutakuwa na imeme wa kutosha., hivyo, bei itapungua. Sasa tumuamini nani Kati ya Maharage au muheshimiwa Raisi?
Wewe unamuamini waziri mkuu?
 
Licha ya gaharama za uzalishaji wa umeme kutarajiwa kushuka baada ya kukamilika kwa Bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere (JNHPP) Juni 2024, imebainika kuwa uzalishaji huo hautapunguza bei ya umeme kwa wateja.

Bwawa hilo linatarajia megawati 2,115 za umeme zitakazoingizwa katika Gridi ya Taifa.

Hayo yameelezwa leo Julai 27 na Mkurugenzi wa Tanesco, Maharage Chande katika kikao kazi kati ya Tanesco na msajili wa hazina na wahariri wa vyombo vya habari lengo kuelezea mafanikio na kazi za shirika hilo.

Amesema kwa mwaka 2020/2021 gharama ya uzalishaji wa umeme ulikuwa Sh1.5 trilioni ikilinganishwa na ongezeko la Sh 1.6 trilioni kwa mwaka 2021/2022.

"Mradi wa Mwalimu Nyerere ukikamilika gharama za umeme zitashuka lakini hatutashusha bei kwasababu tutashindwa kwenda," amesema.

Chande alitoa mchanganuo wa matumizi ya umeme kwamba mpaka sasa shirika hilo linawateja milioni 4.4, ambao miongoni mwao wateja wa viwandani ni 4,000 na majumbani zaidi ya milioni tatu.

Kiwango hicho kinawafanya wananchi kutumia asilimia 50 ya megawati 1400 zinazozalishwa na Tanesco kila siku na viwanda nako ni asilimia 50.

Kuhusu upotevu wa umeme, Makamu Mkurugenzi wa uzalishaji umeme Tanesco, Pakaya Mtamakaya amesema mwaka 2020/2021 upotevu ulikuwa wa asilimia tisa lakini kufikia 2021/2022 upotevu ukipungua kufikia asilimia 8.

Amesema sababu ya upotevu wa umeme ni umeme wenye kilovoti ndogo kusafirishwa umbali mrefu na sasa wanaendelea na mkakati wa kupunguza upotecy wa umeme.

Kuhusu bwawa la Nyerere

Ifikapo Juni, 2024 mradi huo utaanza kuzalisha.

Chanzo: Mwananchi

Pia soma: Habari njema: Bei ya umeme kushuka kutoka Sh.600/= hadi Sh. 35/= kwa unit moja bwawa la Nyerere likikamilika
Kazi kweli kweli
 
Au ni masheti ya mikono ya IMF. Ghana wana masharti ya mikono toka IMF kwamba waongeze bei ya umeme. Kwa kuwa hayo masharti nafuu ya mkopo hatuyajui ndo maana inakuwa ngumu sana kujua kwa nini tanesco wanasema hivyo. Mpaka sasa sababu zao ni nyepesi sana.
Exactly, lengo ni kutufanya tusiwe competitive, mkishusha bei ya umeme inamaana wawekezaji wa viwanda watakuja soko la viwanda vya ulaya na china litakufa, vita ni kubwa sana tena sana ila tunaamini ukombozi waja very soon chini ya Dkt Samia, atawafukuza wanafiki wote.
 
Kwa alichosema Maharage kuhusu gharama za uzalishaji umeme kushuka baada ya uzalishaji kwenye bwawa la Nyerere kuanza, halafu bado anasema hawatqsgusha bei za umeme ni matusi kwa JPM!

Ni kana kwamba anasema bei hawashushi na hatuna la kuwafanya. Hivi hakui multiplier effect ya bei kushuka? Lengo la kujenga bwawa ni ili kuwapa viwanda umeme wa bei nafuu iki bidhaa zao ziweze kushindana sokoni na kuzalisha ajira.., sasa faida ya hilo bwawa kwetu ni nini?

Dar es Salaam. Licha ya gaharama za uzalishaji wa umeme kutarajiwa kushuka baada ya kukamilika kwa Bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere (JNHPP) Juni 2024, imebainika kuwa uzalishaji huo hautapunguza bei ya umeme kwa wateja.
Bwawa hilo linatarajia kuzalisha megawati 2,115 za umeme zitakazoingizwa katika Gridi ya Taifa.

Hayo yameelezwa leo Julai 27 na Mkurugenzi wa Tanesco, Maharage Chande katika kikao kazi kati ya Tanesco na Msajili wa Hazina na wahariri wa vyombo vya habari lengo kuelezea mafanikio na kazi za shirika hilo.
Amesema kwa mwaka 2020/2021 gharama ya uzalishaji wa umeme ulikuwa Sh1.5 trilioni ikilinganishwa na ongezeko la Sh 1.6 trilioni kwa mwaka 2021/2022.

"Mradi wa Mwalimu Nyerere ukikamilika gharama za umeme zitashuka lakini hatutashusha bei kwasababu tutashindwa kwenda," amesema.

Chande alitoa mchanganuo wa matumizi ya umeme kwamba mpaka sasa shirika hilo linawateja milioni 4.4, ambao miongoni mwao wateja wa viwandani ni 4,000 na majumbani zaidi ya milioni tatu.

Kiwango hicho kinawafanya wananchi kutumia asilimia 50 ya megawati 1400 zinazozalishwa na Tanesco kila siku na viwanda nako ni asilimia 50.

Kuhusu upotevu wa umeme, Makamu Mkurugenzi wa uzalishaji umeme Tanesco, Pakaya Mtamakaya amesema mwaka 2020/2021 upotevu ulikuwa wa asilimia tisa lakini kufikia 2021/2022 upotevu ukipungua kufikia asilimia 8.

Amesema sababu ya upotevu wa umeme ni umeme wenye kilovoti ndogo kusafirishwa umbali mrefu na sasa wanaendelea na mkakati wa kupunguza upotecy wa umeme.

Kuhusu bwawa la Nyerere

Ifikapo Juni, 2024 mradi huo utaanza kuzalisha.
 
tunajua Rais wa Watanzania alishaondoka kwa hio hata hatujali nyie ongezeni hata bei sawa tu
 
Wasambaze umeme Kwa watu, vijiji vingi watu wako gizani, REA Imefia wapi?
 
Licha ya gaharama za uzalishaji wa umeme kutarajiwa kushuka baada ya kukamilika kwa Bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere (JNHPP) Juni 2024, imebainika kuwa uzalishaji huo hautapunguza bei ya umeme kwa wateja.

Bwawa hilo linatarajia megawati 2,115 za umeme zitakazoingizwa katika Gridi ya Taifa.

Hayo yameelezwa leo Julai 27 na Mkurugenzi wa Tanesco, Maharage Chande katika kikao kazi kati ya Tanesco na msajili wa hazina na wahariri wa vyombo vya habari lengo kuelezea mafanikio na kazi za shirika hilo.

Amesema kwa mwaka 2020/2021 gharama ya uzalishaji wa umeme ulikuwa Sh1.5 trilioni ikilinganishwa na ongezeko la Sh 1.6 trilioni kwa mwaka 2021/2022.

"Mradi wa Mwalimu Nyerere ukikamilika gharama za umeme zitashuka lakini hatutashusha bei kwasababu tutashindwa kwenda," amesema.

Chande alitoa mchanganuo wa matumizi ya umeme kwamba mpaka sasa shirika hilo linawateja milioni 4.4, ambao miongoni mwao wateja wa viwandani ni 4,000 na majumbani zaidi ya milioni tatu.

Kiwango hicho kinawafanya wananchi kutumia asilimia 50 ya megawati 1400 zinazozalishwa na Tanesco kila siku na viwanda nako ni asilimia 50.

Kuhusu upotevu wa umeme, Makamu Mkurugenzi wa uzalishaji umeme Tanesco, Pakaya Mtamakaya amesema mwaka 2020/2021 upotevu ulikuwa wa asilimia tisa lakini kufikia 2021/2022 upotevu ukipungua kufikia asilimia 8.

Amesema sababu ya upotevu wa umeme ni umeme wenye kilovoti ndogo kusafirishwa umbali mrefu na sasa wanaendelea na mkakati wa kupunguza upotecy wa umeme.

Kuhusu bwawa la Nyerere

Ifikapo Juni, 2024 mradi huo utaanza kuzalisha.

Chanzo: Mwananchi

Pia soma: Habari njema: Bei ya umeme kushuka kutoka Sh.600/= hadi Sh. 35/= kwa unit moja bwawa la Nyerere likikamilika
Mods unganisha huu Uzi hapa
 
Habari wanajukwaa.. Wakati swala la Bandari linachafua hali ya hewa, nimekutana na hili la Umeme limenitisha.. Hii nchi sijui tuelekea wapi aisee..??
Chanzo:Mwananchi
Screenshot_20230731-072027_Chrome.jpg
 
Tumepigwa NDOIGE...Wakati wanajenga walituambia bei ya kununua umeme itapungua ila sasa Maharage kashasema hawapunguzi.

Haya DPW wanakuja wanatuambia Mapato yataongezeka na ajira zitaongezeka sana ,wakishaanza kupiga mzigo tu ndiyo biashara ishakwisha hata mapato yakipungua na waliokuwa na ajira kuondolewa kwasababu ya uwepo wa mashine za kisasa hakuna wa kumuuliza....Kuna la Kujifunza hapa.
 
Changa la macho siku zote matokeo hubadilisha mtazamo haya wafanye watakavyo tumeshaingia kwenye mfumo wa kukomoana kupitia kodi zetu na hatuoni ajabu tena
 
Tumepigwa NDOIGE...Wakati wanajenga walituambia bei ya kununua umeme itapungua ila sasa Maharage kashasema hawapunguzi.

Haya DPW wanakuja wanatuambia Mapato yataongezeka na ajira zitaongezeka sana ,wakishaanza kupiga mzigo tu ndiyo biashara ishakwisha hata mapato yakipungua na waliokuwa na ajira kuondolewa kwasababu ya uwepo wa mashine za kisasa hakuna wa kumuuliza....Kuna la Kujifunza hapa.
Walijihami kujenga imani ila ni debe tupu
 
Back
Top Bottom