TANESCO: Changamoto ya umeme kuisha haraka hakuna jibu la moja kwa moja bila kufanyika tathmini ya kitaalamu

TANESCO: Changamoto ya umeme kuisha haraka hakuna jibu la moja kwa moja bila kufanyika tathmini ya kitaalamu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Wakati baadhi ya wateja wakilalama kuhusu kuisha haraka kwa umeme wanaonunua kupitia mfumo wa Luku, Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema hakuna jibu la moja kwa moja bila kufanyika tathmini ya kitaalamu.

Kwa mujibu wa waliotoa malalamiko, wamekuwa wakinunua umeme kiwango kilekile lakini huisha ndani ya muda mfupi licha ya kuwa hawajaongeza matumizi ya nishati hiyo.

1769415618506.png

Akizungumza na Mwananchi Januari 23, 2026 Mkurugenzi wa Tanesco, Lazaro Twange, amesema hakuna jibu la moja kwa moja linaloweza kutolewa bila kufanya tathmini ya kitaalamu katika eneo husika.

Soma: TANESCO, zipi faida za kuwa na bwawa kubwa la Umeme la Julius Nyerere (JHPP) ikiwa Unit 1 ya Umeme wateja wa T1 tunatozwa Sh 292?
 
Back
Top Bottom