KERO TANESCO - Chanika, mtaa Wa Mazinda, mjitafakari mnakata umeme kila siku saa 1 usiku mnarudisha saa 5 usiku

KERO TANESCO - Chanika, mtaa Wa Mazinda, mjitafakari mnakata umeme kila siku saa 1 usiku mnarudisha saa 5 usiku

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Addons

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2023
Posts
393
Reaction score
571
Yaani huwezi kuamini Wananchi baadhi huku wamekuwa wanateseka saaana na kero ya umeme! Umeme unakata saa moja usiku na kurudi saa 5 usiku! Mchana unakatika na kurudi..

"This is too much"
Hii ni kwa zaidi ya miezi kibao huku nyuma yaani Chanika kwa MAZINDA nikama bado wapo miaka ya zamani sana!! Aisee mnadhalilisha nchi yetu
 
ni kwamba maji na umeme ni huduma zenye shortage, mitaa ya wenye visu vikali ndio hupewa kipaumbele
 
Hio line ya Kisarawe hio line shida kitambo sio jana wala juzi watu washazoea tena siku hizi imekua afadhali zima washa zima washa zima zima washa zima washa
Tena kabisa ukifika muda huo utasikia mbona leo hawakati,,? Wenyewe wanaona maajabu umeme kuto katika
 
ni kwamba maji na umeme ni huduma zenye shortage, mitaa ya wenye visu vikali ndio hupewa kipaumbele
Hapo sawa, sijui hata wanawazaga Nini, December hii 2024, wanakata umeme Kama tupo early 2000
 
Hio trend ni kila siku yaani lazima umeme ukatike ni mwezi wa sita sasa huu unaenda!! Mnaihujumu nchi yetu
 
Back
Top Bottom