KERO TANESCO Geita kuna shida gani? Mbona umeme unakatika sana?

KERO TANESCO Geita kuna shida gani? Mbona umeme unakatika sana?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Error 404

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2022
Posts
2,151
Reaction score
3,493
Nina siku kadhaa nipo Geita lakini hii trend ya kukatika umeme isiyo na ratiba maalumu inatia shaka utendaji kazi wa watumishi walioko huko ofisini

Wenyeji mnaonaje?
 
Back
Top Bottom