peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kwani wanakusanya Tshs ngapi kwa mwezi?Hicho kitu tulitengemea kutokea Tenesco kwa sababu makusanyo ni madogo kuliko gharama wanazotumia. Huo ni mwanzo tu
Serikali wabuni Tozo zingine kuliokoa shirika. Tozo ya simu inaenda TARURA kutengeneza Daraja la mbao la million 31 wakati wanafunzi wanakaa chini hakuna madarasa.
Hicho kitu tulitengemea kutokea Tenesco kwa sababu makusanyo ni madogo kuliko gharama wanazotumia. Huo ni mwanzo tu
Serikali wabuni Tozo zingine kuliokoa shirika. Tozo ya simu inaenda TARURA kutengeneza Daraja la mbao la million 31 wakati wanafunzi wanakaa chini hakuna madarasa.
Inaonekana hata hujui unachokiandika!!eti unangisha umeme wa REA?, hao wana umeme?!!totauti na TANESCO, au hujui hata maana ya REA, ndio wale unawasikia eti umeme wa REA, sio mzuri!!!kama yupo mjini huo umeme wa mradi ataupata wapi?wakati kote huku kero ni nguzo na mita?unapoona huko vijijini mnapata umeme wa mradi mnazania na watu wa mijini kuvutiwa umeme ni kazi rahisi kama huko?!!sikuamini hata kidogo, upo Mji gani? Nguzo zimejaa na hata mita, umeme mpaka vijijini wewe unataka nguzo za nini tena? unganisha umeme wa REA funga kinu sagisha uwele
Hujui kitu wewsikuamini hata kidogo, upo Mji gani? Nguzo zimejaa na hata mita, umeme mpaka vijijini wewe unataka nguzo za nini tena? unganisha umeme wa REA funga kinu sagisha uwele
Mimi kwangu nahitaji nguzo ili niunga nishiwe umeme naishi yombo dovya temeke huu mwezi wa pili hamna jipya naambiwa nisubir wakati wazir kasema nguzo zipo tena kuzidi mahitaji yetuInaonekana hata hujui unachokiandika!!eti unangisha umeme wa REA?, hao wana umeme?!!totauti na TANESCO, au hujui hata maana ya REA, ndio wale unawasikia eti umeme wa REA, sio mzuri!!!kama yupo mjini huo umeme wa mradi ataupata wapi?wakati kote huku kero ni nguzo na mita?unapoona huko vijijini mnapata umeme wa mradi mnazania na watu wa mijini kuvutiwa umeme ni kazi rahisi kama huko?!!
Umeme wa Rea ni wa kisiasa. Ni wa kuwashia TV na kuchajia simu hauna nguvu ya kuwasha mashine. Umeme wenye nguvu ni three phase yenye nyaya 3 au zaidi na pawe na transformer ya 33kv na zaidi, 66kv /132kvInaonekana hata hujui unachokiandika!!eti unangisha umeme wa REA?, hao wana umeme?!!totauti na TANESCO, au hujui hata maana ya REA, ndio wale unawasikia eti umeme wa REA, sio mzuri!!!kama yupo mjini huo umeme wa mradi ataupata wapi?wakati kote huku kero ni nguzo na mita?unapoona huko vijijini mnapata umeme wa mradi mnazania na watu wa mijini kuvutiwa umeme ni kazi rahisi kama huko?!!
Tena hakuna jamaa muongo muongo kama huyo!!ki ukweli kwa sasa hakuna nguzo, nguzo nyingi wanapeleka kwenye hiyo miradi ya REA, Hao wana siasa ndio anaofanya watendaji waonekane ni wazembe lakini tatizo wanalifamu , Mwingine jana anasema wote walioondolewa tarrif D1, wakatoe taarifa ili warejeshwe tena, subiria uone!!wameshatuona mapimbi tuMimi kwangu nahitaji nguzo ili niunga nishiwe umeme naishi yombo dovya temeke huu mwezi wa pili hamna jipya naambiwa nisubir wakati wazir kasema nguzo zipo tena kuzidi mahitaji yetu
Rip MagufuliKatika Hali isiyo ya kawaida ,Kwa mara ya kwanza tangu awamu ya tano,imetokea Hali isiyo ya kawaida ya kukosekana Kwa nguzo za kuunganisha wateja umeme Tanzania. Hakuna wilaya hata moja nchini insyotoa huduma ya kuwapatia wateja nguzo ili wananchi waweze kupata huduma ya umeme. Kila ukiuliza unaambiwa tunaweka nguzo keenye bajeti. Ni bajeti ipi hiyo ambayo ilisomwa July na Sasa ni August.
Nakuamini usemayo 100%Tena hakuna jamaa muongo muongo kama huyo!!ki ukweli kwa sasa hakuna nguzo, nguzo nyingi wanapeleka kwenye hiyo miradi ya REA, Hao wana siasa ndio anaofanya watendaji waonekane ni wazembe lakini tatizo wanalifamu , Mwingine jana anasema wote walioondolewa tarrif D1, wakatoe taarifa ili warejeshwe tena, subiria uone!!wameshatuona mapimbi tu
Nenda Tanesco wakupe namba ya saveya kisha mpe rushwa saveya ili saveya aje. Amasivyo utasubiria miezi sita mpaka mwaka na nusu. Na akimaliza kazi akikupigia hesabu ya vifaa jiandae kisaikolojia kununua nguzo na gharama za line.Mimi nimeambiwa surveyor atakuja kukagua aone kama kweli nahitaji nguzo,mwezi wa pili huu sasa,kila nikiuliza naambiwa ana kazi nyingine atakuja...mapinga jirani tuu na Dar
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nenda Tanesco wakupe namba ya saveya kisha mpe rushwa saveya ili saveya aje. Amasivyo utasubiria miezi sita mpaka mwaka na nusu. Na akimaliza kazi akikupigia hesabu ya vifaa jiandae kisaikolojia kununua nguzo na gharama za line.