Wala inshu sio namba ya surveyor, kuja kufanya survey, atakuja sawa, labda kama hakuna hitaji la nguzo, lakini kama kuna hitaji la nguzo na mfumo unaotumika sasa tanesco, wa FIFO, na nguzo zenyewe ndio hizo hakuna, ataliwa pesa zake na umeme hatapata kwa muda anaotaka yeye!!siku amesahau ndio ataona wanampigia simu tunakuja kukufungia umeme.unaongea kama una mtisha vile wakati kitu kipo wazi, majukumu ya saveya akija ni kuangalia mchoro wako wa wiring basi, na kupiga hesabu ya umbali toka ilipo njia kuu ya umeme, kama ni zaidi nguzo mbili, hiyo tena kwa mtu mmoja imeshakuwa mtihani, lazima ijengwe njii yake!lakini kama ni nguzo 1, 2, utapigiwa hesabu kalipie, subilia foleni ikufikie.