TANESCO haina tena nguzo za kusambaza umeme majumbani

Umeme wa Rea ni wa kisiasa. Ni wa kuwashia TV na kuchajia simu hauna nguvu ya kuwasha mashine. Umeme wenye nguvu ni three phase yenye nyaya 3 au zaidi na pawe na transformer ya 33kv na zaidi, 66kv /132kv
Hujui kitu wewe.. fani za watu hizo
 
Dah noma kaka cjui tufanyeje
 
Jamaa hajui kitu kabisa
 
Hizi ni namba za menager wa Kilimanjaro, Siha na Hai tunaomba za mteja au zako mwenyewe tufatilie
Kama ndizo zenyewe umetumiwa wao kama watumishi wa tanesco wanawajibu nini wateja wao? Kabla hujahitaji Namba za wateja wanaobisha hodi ofisini kwao kwa miguu kila siku ?
 
Kama ndizo zenyewe umetumiwa wao kama watumishi wa tanesco wanawajibu nini wateja wao? Kabla hujahitaji Namba za wateja wanaobisha hodi ofisini kwao kwa miguu kila siku ?
Toa ushirikiano hata Pm kwa huduma bora
 
Unaweza kupata wapi ushirikiano zaidi ya hizo namba nilizokupatia? Nipe namba Yako nikupigie
Mkuu hawa uliotoa ni wafanyakazi wa TANESCO kwaninu wewe usitoa taarifa za mteja vinginevyo unakuwa haujalenga kupatiwa huduma
 
Acha kupotosha watu.
Mkataba ni kati ya REA na Mkandarasi. Tanesco yeye ni kusimamia tu mradi ujengwe katika standards and specifications zake tu. Mkandarasi yeye ataleta materials yote as per tanesco specifications.

Unajua kitu kinachoitwa TURNKEY.
Miradi yote ya REA ni TURNKEY projects.
 
uking'ang'ana kulipia ile 20k, hupati nguzo

ukilipia 321k + 'ela ya nguzo' , nguzo zipo bwelele, akili kumkichwa
 
Umeme wa Rea ni wa kisiasa. Ni wa kuwashia TV na kuchajia simu hauna nguvu ya kuwasha mashine. Umeme wenye nguvu ni three phase yenye nyaya 3 au zaidi na pawe na transformer ya 33kv na zaidi, 66kv /132kv
akili za Veta izi
 
Nguzo wamezitelekeza mitaaani kisa wameambiwa bei elekezi ya kuunganisha wateja ni 27,000. Tanesco wana mgomo baridi ila hawasemi wazi wazi
 
Tanesco anamsimamia REA wakati tanesco mwenyewe ameshindwa kujisimamia? Very interested. Wakati tanesco anamsimamia REA ,yeye tanesco anakuwa anafanya shughuli Gani? Kwa kifupi REA ni mrafi WA watu waliopanga namba ya Kula fedha za tanesco. Mfano mzuri . Anayepewa miradi yote ya REA mkoa WA Geita ni kaka yake WA kuzaliwa na Mh. Medard Kalemani ,waziri wa nishati. Then unasema tanesco itaenda kusimamia huo mradi? Watanzania amkeni
 
Tozo zetu za miamala ndio zimejenga daraja la mbao!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nawasalimu kwa jina la tozo
 
Tanesco anamsimamia REA wakati tanesco mwenyewe ameshindwa kujisimamia? Very interested. Wakati tanesco anamsimamia REA ,yeye tanesco anakuwa anafanya shughuli Gani? Kwa kifupi REA ni mrafi WA watu waliopanga namba ya Kula fedha za tanesco
amka wewe kwanza, huna akili + hujui REA ni nini,

REA ni wakala wa nishati vijijini na HQ ipo pale Ubungo pembeni mwa Sam Nujoma

zabuni zinatangazwa na REA, wakandarasi wanaomba, aliyepata anaingia mkataba na REA,

mkandarasi anasimamiwa na Tanesco , akimaliza anakabidhi kazi kwa Tanesco , kisha kulipwa na REA

ulafi wa REA unakujaje hapo ?
 
Wakandarasi ñdio hao kaka wa Waziri au? Tatizo huna uhalisia wa field work. Unasoma makabrasha ofisini kuelimisha watu.
 
Mimi nimeambiwa surveyor atakuja kukagua aone kama kweli nahitaji nguzo,mwezi wa pili huu sasa,kila nikiuliza naambiwa ana kazi nyingine atakuja...mapinga jirani tuu na Dar
Hili ndilo tatizo kubwa zaidi...
 
Mkuu upo sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…