TANESCO haina tena nguzo za kusambaza umeme majumbani

Je umepimiwa lini? Namba ta simu tafadhali
Uhuni tu! Unafanywa na wafanyakazi. Mimi nimepeleka maombi pale gongolamboto nyumba inahitaji nguzo 1 tu! Hadi leo danadana tu! Wanataka hela namimi sitoi
 
Si waziri alisema wana nguzo nyingi sana??
 
Kumbe mpo ONLINE! Hongera sana. Kuna Jamaa aliuliza hapa eti kwanini TANESCO wanakua na Standby generators wakati wao ndio wazalisha umeme?
Backup ni muhimu sana kwa taasisi yeyote hata baadhi ya mitambo inawashwa na mitambo mingine
 
Hebu tuache uongo please

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Uhuni tu! Unafanywa na wafanyakazi. Mimi nimepeleka maombi pale gongolamboto nyumba inahitaji nguzo 1 tu! Hadi leo danadana tu! Wanataka hela namimi sitoi
Alisemaga baki na mafi yako .....na wewe baki na fwedha zako ....
 
Mbona wakati wa JPM watunwalioqta umeme kwa 27000 vijijini lakini sasahivi hata ambao tulilipia 27000 mwaka jana sept hadi sasa mwaka unaisha hakuna umeme. Je sasahivi Tanesco wameahindwa kununua mita?
Je kunanini kilichofanyika wakati wa Magufuri kuwezesha REA kufabyavitu vizuri na Tanesco kuliko sasa?
 
Hueleweki au unachochea kwani hujui bado mleta Mada alivyopotosha
mimi nipo Mjini na nina mita 2 za Tanesco ambako hakuna shida yoyote ya nguzo. Mita moja siitumii na nimekataliwa haihamishwi.
Kijiji fulani nimeenda muombea mamamkwe na nimeshamfungia bila ya nguzo na nimelipa 27,000/ tu
Tanesco tumewaita kwenye uzi mbona hamuwapi namba zenu za malalamiko
Mleta Mada kadanganya kwa kutoa namba za Maafisa wa umeme huko Mkoa wa Kilimajaro na sio namba yake
Hizi ni namba za menager wa Kilimanjaro, Siha na Hai tunaomba za mteja au zako mwenyewe tufatilie

peno hasegawa

acha majungu maana eneo ulilotoa namba za walioathirika ni watu wa majungua sana Tanesco wameomba namba kwanini usiwape ninyi mliokosa nguzo?
mnachafua JF
 
Nguzo zipo ila ni black market kuzipata kiharari ndg yangu ni ndoto utazunguka ofisini weee
 

[emoji23][emoji23][emoji23] Bajet ya Julay 2022
 
Mimi kwangu nahitaji nguzo ili niunga nishiwe umeme naishi yombo dovya temeke huu mwezi wa pili hamna jipya naambiwa nisubir wakati wazir kasema nguzo zipo tena kuzidi mahitaji yetu
Zamani ukihitaji umeme kama nyumba yako panazidi umbali wa mita 30 na patahitajika nguzo unalipia sasahv waziri wenu kasema mlipie tsh 27,000 na hakuna kuuziwa nguzo unategemea utapata nguzo?ili nguzo iwekwe sehemu ni lazima kuwe na mradi wa ujenzi mpya au ujazilizi au matengenezo/ukarabati lakini kwa hali ya sasa wakuwekee nguzo kwa minajili ipi?
 
Hata hueleweki unachokipinga ni nini?!!kwani hiyo 27, 000 ya kuunganishiwa umeme vijijini mbona toka miradi ya REA, imeanza ndio gharama yake!!kwani nini maana ya pm?!!kama mtu ana shida si anawatumia tu hizo details wanazotaka huko pm?!kwa hiyo wewe ulifikiria kuhamisha mita ya tanesco ni rahisi kama kufukua mtalo?!!
Watu wanacholalamika hasa ni tatizo la nguzo, na hiyo bei ya 27, 000 kwa sehemu ambako hakuna mradi wa REA/Wameshaukabidhi kwa tanesco, kuwa hicho ni kiini macho tu, mbona watu wakienda tanesco wanakataliwa kwa hiyo bei?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…