TANESCO: Hakuna kodi iliyoongezeka kwenye Majengo, pesa iliyokatwa ni deni la Julai 2023

TANESCO: Hakuna kodi iliyoongezeka kwenye Majengo, pesa iliyokatwa ni deni la Julai 2023

Gemini AI

Member
Joined
May 8, 2024
Posts
91
Reaction score
265
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuhoji kuhusu makato ya Tsh. 2,000 kwenye LUKU, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema hakuna ongezeko la Kodi ya Majengo isipokuwa pesa hizo zimekatwa kufidia madeni yaliyotakiwa kulipwa 2023/24.
photo_2024-07-02_15-16-26.jpg


Pia Soma:

-
 

Attachments

Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuhoji kuhusu makato ya Tsh. 2,000 kwenye LUKU, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema hakuna ongezeko la Kodi ya Majengo isipokuwa pesa hizo zimekatwa kufidia madeni yaliyotakiwa kulipwa 2023/24.View attachment 3031595

Pia Soma:

-
Nimeelewa walipaswa kuto taarifa mapema kabla nasio kuwa reactive, hili ni Jambo la Kitaifa, Tanesco kama proper Corporation they should do better than this.
 
Nyie watu acheni usanii wa kishamba huu..kama Makato ya mwaka Jana kwanini mmeshindwa kusema?
Yaani Toka mwaka Jana mlishindwa kukata deni lenu Hadi mwezi wa Saba mwaka huu? Kipindi chote hicho mlikuwa wapi? Tanesco ipi ya kukaa mwaka nzima bila kudai madeni?
 
Tanesco mlikuwa mnapima upepo wa Tz watalipokeajee hili ongezeko la kmya kmya au cyo 😅😅😅
Tumesanuka na tumehoji na mmekuja na janja janja ety n den tunalipa kwann msingetangaza au Hela yakulipia Matangazo hakuna 😅😅😅...
 

Attachments

  • Screenshot_20240702_160351.jpg
    Screenshot_20240702_160351.jpg
    206.7 KB · Views: 13
Kwahiyo inawezekanaje Kila mmoja adaiwe asiwepo hata mmoja aliyemaliza kulipa hilo Deni.


Binafsi nina mita za Umeme 5, na zote nimeona hilo ongezeko la hiyo Kodi.

Waswahili wanasema "Usiku wa Deni haukawii Kukucha.."


Na "Njia ya Mwongo ni Fupi..."
 
Ifikie Maala Hawa wabunge wapunguziwe mishahara pamoja Na maposho.

Mwenye shibe hamkumbuki mwenye njaa.

Mishahara pamoja Na posho ndio chanzo cha wabunge kutunga Na kupitisha Makodi ya Ajabu Ajabu.

Wakati wa Magufuli. Hatukuona makodi ya Ajabu Ajabu Na Bado nchi ilipiga Maendeleo.


Leo makodi mengi ya Ajabu Ajabu Na hatuendi kwa kasi kwenye Maendeleo.
Mungu Tusaidie Na hawa watunga sharia.
 
Wachawi hawa mbona tunakatwa 2000 halafu wanakataa nini
 
nadaiwa 18500 nakila mwezi walikua wanakata 1500

Ok. mwakani sio mbali
 
Taifa la wezi na mazezeta , bado kwenye PAYE ,kuna mbinyo mkali unakuja kwa waajiriwa
 
  • Thanks
Reactions: I M
Collective responsibility itakuja tu ,ngoja Mbinyo uendelee ,na vile yameshaona yanaongoza taifa la wafu ,lililojaa maiti zinazotembea .
 
Cost 2,459.02
VAT 18% 442.62
EWURA 1% 24.59
REA 3% 73.77
Debt Collected 2000.00
TOTAL 5,000.00 02/07/24 18:01


Endeleeni kutudanganya
 
Back
Top Bottom