TANESCO: Hakuna kodi iliyoongezeka kwenye Majengo, pesa iliyokatwa ni deni la Julai 2023

TANESCO: Hakuna kodi iliyoongezeka kwenye Majengo, pesa iliyokatwa ni deni la Julai 2023

Tanesco mlikuwa mnapima upepo wa Tz watalipokeajee hili ongezeko la kmya kmya au cyo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Tumesanuka na tumehoji na mmekuja na janja janja ety n den tunalipa kwann msingetangaza au Hela yakulipia Matangazo hakuna πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…...
Wapuz sana hawa

Kama kukata washakata wanaleta maneno mengi ya nini
Wakati watu June wamekatwa
1500 ila July wamekatwa 2000
Ina maana hapo 500 imeongezeka,hawa jamaa wapuz kabisa

Iva
 
Hivi mnawaelewa hawa jamaa TANESCO
 

Attachments

  • 77A688A7-D1C2-449F-9D5C-7C0261DF6FBB.jpeg
    77A688A7-D1C2-449F-9D5C-7C0261DF6FBB.jpeg
    196.4 KB · Views: 4
Wametumia umbumbu wa wabongo plus kutokuweka kumbukumbu kwao kwamba hakuna anayeweza kukumbuka ni tarehe ipi alinunua unit za umeme katika kipindi tajwa, July 2023. Lakini kiufupi kuna watu wamepigwa na kitu kizito kwa kiwango cha buku 2 na sasa mpigaji anajitetea baada ya malalamiko akiwa amesahau kuwa awali alimtupia mpira TRA na TRA naye kauelekeza halmashauri, halmashauri nao wameurudisha kwa asiyejua kitu cha kusema.
 
hii ecomomy. πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
 
Hebu fanyeni kurudisha hiyo 500 ...mwezi ujao mkate 1000 tu....
Manake hapa naona porojo tu....
TANESCO
 
Back
Top Bottom