Serikali iwe inawakamata Hawa wazushi ššBaada ya Mdau wa JamiiForums.com kuhoji kuhusu makato ya Tsh. 2,000 kwenye LUKU, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema hakuna ongezeko la Kodi ya Majengo isipokuwa pesa hizo zimekatwa kufidia madeni yaliyotakiwa kulipwa 2023/24.View attachment 3031595
Pia Soma:
-
Unashanikia kitu usichoelewaNaona manambari nambari mengiiii kwa tusio elewa tushakuwa confused
Nimeelewa walipaswa kuto taarifa mapema kabla nasio kuwa reactive, hili ni Jambo la Kitaifa, Tanesco kama proper Corporation they should do better than this.Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuhoji kuhusu makato ya Tsh. 2,000 kwenye LUKU, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema hakuna ongezeko la Kodi ya Majengo isipokuwa pesa hizo zimekatwa kufidia madeni yaliyotakiwa kulipwa 2023/24.View attachment 3031595
Pia Soma:
-
Na hamna kitu mtafanyaš¤£nchi hii
Mambo yanafanyika kishz
Ova