Wapuz sana hawaTanesco mlikuwa mnapima upepo wa Tz watalipokeajee hili ongezeko la kmya kmya au cyo π π π
Tumesanuka na tumehoji na mmekuja na janja janja ety n den tunalipa kwann msingetangaza au Hela yakulipia Matangazo hakuna π π π ...
Hilo deni lilikujaje wakati kila mwezi hela inakatwa? Waache ujinga wao hawa wapuuzi.Serikali iwe inawakamata Hawa wazushi ππ
View: https://www.instagram.com/p/C86zbB-qeGD/?igsh=MXdnYm1ydXhiYXF1Ng==