luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Wadau kwema,
Hawa wahusika. Tajwa hapo juu hakika wamekuwa SUGU, hawa mabwana kila ukiwatembelea pale ofisi kwao kuwauliza kulikon mbona hatufungiwi umeme? Wanasema kwa sasa wanafungia wateja walio omba umeme mwezi wa 8.
Yaan since Januari hawa jamaa wanawafungia umeme wateja wa mwezi wa 8 ilihali mtaani tunaona watu walijenga frame za maduka Desemba - Januari wameshafungiwa umeme.
Acheni Ubabaishaji Tanesco Kibaha TC