TANESCO huduma kwa wateja hongereni sana kwa huduma nzuri

TANESCO huduma kwa wateja hongereni sana kwa huduma nzuri

Fortyseven

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2020
Posts
1,518
Reaction score
2,834
Kipekee nipende kuwapongeza TANESCO upande wa huduma kwa wateja wako vizuri sana kuliko taasisi yoyote ile ya serikali (nadhani) wanapokea simu faster sana na kurespond. kama fire wangekuwa hivi tungefika mbali

Halafu kuna RITA sasa hao hata namba iliyo kwa website yao haipatikani .
 
Je, ulishawahi kuwapigia simu mara ngapi?

Usije ukawa umepiga mara moja kwa bahati wakapokea haraka, ukaamini ni tabia yao ya Kila siku.
 
Back
Top Bottom