Fortyseven
JF-Expert Member
- Oct 30, 2020
- 1,518
- 2,834
zaidi ya mara 10Je, ulishawahi kuwapigia simu mara ngapi?
Usije ukawa umepiga mara moja kwa bahati wakapokea haraka, ukaamini ni tabia yao ya Kila siku.
kumbe ww n mr tanesco endeleeni ivo ivo msijegeuka mkawa kama RITA.Asante mkuu...
Nimefurahi kuskia hivo na karibu
Basi Kuna ukweli wa unachokisema kwa asilimia kubwa 👏.zaidi ya mara 10