TANESCO: Huduma ya Umeme kuendelea wakati wa Mvua za El Niño

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewatoa hofu wananchi kwa kueleza kuwa huduma ya nishati ya umeme itaendelea kupatikana kama kawaida katika kipindi chote cha mvua za El Niño, kwani hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kunyesha kwa mvua na kukatika kwa umeme.

Kauli hiyo imetolewa leo na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano na Huduma kwa Wateja wa TANESCO, Irene Stanley, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya shirika hilo kuelekea kipindi cha mvua za El Niño.

Stanley amefafanua kuwa kinachochangia kukatika kwa umeme wakati wa mvua ni athari za kimbunga na matukio ya asili kama vile upepo mkali unaoangusha nguzo za umeme pamoja na mafuriko yanayoharibu miundombinu, na si mvua yenyewe.

Ili kuhakikisha huduma hairekodi usumbufu mkubwa, TANESCO imeweka mikakati ya kujiweka tayari kukabiliana na dharura zitakazojitokeza, ikiwa ni pamoja na kuimarisha timu za mafundi na vifaa vya matengenezo ya haraka katika maeneo mbalimbali nchini.

View attachment 3675027
well done Tanesco 🤝
 
Kama hua wanalemewa pakiwa hakuna dharura, hizi mvua wanasema umeme hautakatika?

Tuombe madhara yasiwe makubwa nguzo nyingi zikaanguka, upepo ukaangusha miti na kukata nyaya, hapo hatujagusia hali ya mabwawa ya umeme.
 
Habari, ndugu wateja wetu.

Tafadhali fahamuni kuwa lengo letu ni kuhakikisha huduma ya umeme inaendelea kupatikana kwa uhakika hata katika kipindi cha mvua za El Niño. Hata hivyo, endapo hali mbaya ya hewa itahatarisha miundombinu yetu na kuhatarisha usalama wa wananchi, inaweza kulazimu kusitisha huduma kwa muda kama hatua ya tahadhari na ulinzi wa maisha pamoja na mali.

Aidha, tunaomba ushirikiano wenu kwa kutoa taarifa mara moja pale mtakapobaini hitilafu au kukatika kwa huduma bila taarifa rasmi, ili timu zetu ziweze kufanya ufuatiliaji wa haraka na kuhakikisha huduma inarejea kwa wakati.

Asanteni kwa ushirikiano wenu. ^HN
 
TANESCO, NSSF, NHIF, TTCL, ATCL na bodi ya mazao yote ya kimkakati Tanzania; mnafaa kufutwa. Kazi zenu ziachiwe private sector
 
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewatoa hofu wananchi kwa kueleza kuwa huduma ya nishati ya umeme itaendelea kupatikana kama kawaida katika kipindi chote cha mvua za El Niño, kwani hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya kunyesha kwa mvua na kukatika kwa umeme.

Kauli hiyo imetolewa leo na Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano na Huduma kwa Wateja wa TANESCO, Irene Stanley, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya shirika hilo kuelekea kipindi cha mvua za El Niño.

Stanley amefafanua kuwa kinachochangia kukatika kwa umeme wakati wa mvua ni athari za kimbunga na matukio ya asili kama vile upepo mkali unaoangusha nguzo za umeme pamoja na mafuriko yanayoharibu miundombinu, na si mvua yenyewe.

Ili kuhakikisha huduma hairekodi usumbufu mkubwa, TANESCO imeweka mikakati ya kujiweka tayari kukabiliana na dharura zitakazojitokeza, ikiwa ni pamoja na kuimarisha timu za mafundi na vifaa vya matengenezo ya haraka katika maeneo mbalimbali nchini.

Ngoja nijikaze nisicheke..
 
Sio kweli ,naamin haitokuwepo .
Semen lingine 😂😠🤗
 
Sio kweli ,naamin haitokuwepo .
Semen lingine 😂😠🤗
Habari, ndugu mteja na asante kwa ujumbe wako. Tutasubiria maoni yako baada ya huu msimu wa mvua kupita.

Asante sana. ^MY
 
Back
Top Bottom