Tanesco huu mgao ni wa nini tena?

Tanesco huu mgao ni wa nini tena?

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Makali ya mgao Kwa mwaka 2023 naona yamekuja na ukali zaidi.

Jana tumezimiwa umeme Kwa 12hrs kuanzia saa 12 asubuh mpaka saa moja jioni, Leo tena saa 12 kamili umezimwa na mpaka muda huu hakuna umeme.

Basi mtupe ratiba nyingine, mlisema mvua now mvua zinanyesha sasa shida ni nn?

Kigamboni dar es salaam now no umeme.

 
Duuh umeniwah asee nilitaka kuanzisha uzi hapa kuulizia tatizo nn Sisi pia huku hatuna umeme kiza kabisa daaah
Alijisemea mwendazake mtanikumbuka Kwa mazuri TANESCO tuelezeni basi tatizo ni nini kuna watu tunategemea umeme kupata rizq
 
Usijali tunakata miti.... tahadhari usisogelee wala kugusa waya coz hujui sangapi tutarudisha

Angalia biashara zinavyofungwa kisa ni umeme, hawa watu ela za Kodi za frem watatoa wapi?

Sijui tumekuwa ni wapole Sana au ni nn?

Basi waseme tanzania hakuna umeme ijulikane kuwa umeme ukiwepo ni kama Zawadi tu
 

Attachments

  • 20230111_194110.mp4
    33.8 MB
Si umesema kuna muda umewaka...Kuwa na shukrani !

images (19).jpeg
 
Lucas mwashambwa njoo huku umsifie January na hanganya kama kawaida yako
Itakuwa Kuna matengenezo madogo madogo tu,Tusiwe watu wa kulalamika lalamika tu kwa mambo ya muda mfupi tu,mbona hata sisi binafsi Kuna wakati unakwama baadhi ya mambo na kwa wakati fulani kukamilisha au kutekeleza jambo fulani?
 
Itakuwa Kuna matengenezo madogo madogo tu,Tusiwe watu wa kulalamika lalamika tu kwa mambo ya muda mfupi tu,mbona hata sisi binafsi Kuna wakati unakwama baadhi ya mambo na kwa wakati fulani kukamilisha au kutekeleza jambo fulani?
Sisi watu binafsi hatujapewa dhamana kusimamia mali za UMMA na kuhakikisha nchi haiendi mrama kama wameshindwa waje wakae huku na sisi watu binafsi. Hawapo pale kutoa hisani bali kutimiza wajibu wa sisi tunaowalipa.
 
Back
Top Bottom