hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
- Thread starter
- #21
Itakuwa Kuna matengenezo madogo madogo tu,Tusiwe watu wa kulalamika lalamika tu kwa mambo ya muda mfupi tu,mbona hata sisi binafsi Kuna wakati unakwama baadhi ya mambo na kwa wakati fulani kukamilisha au kutekeleza jambo fulani?
Jana 12hrs na Leo since saa 12 matengenezo gani?
Acha kutake mambo magumu kuwa simple, nyie ndio mnafanya hawa viongozi watuburuze
Mnasifia ujinga, umeona watu wanafunga biashara? Unajua bidhaa ngapi zinaharibika kwenye Frig? Hizo ela za mtaji wanazitoa wapi?