Itakuwa Kuna matengenezo madogo madogo tu,Tusiwe watu wa kulalamika lalamika tu kwa mambo ya muda mfupi tu,mbona hata sisi binafsi Kuna wakati unakwama baadhi ya mambo na kwa wakati fulani kukamilisha au kutekeleza jambo fulani?
wanatamani kusema ila wanaona haya wananchi hawatawaelewa.Bora waseme hivyo basi tujue moja
Viongozi wa Burundi wakiona mbinu ya kukata umeme mumeishtukia, watatuliza akili waje na wazo jingine.
Sisi kama Watanzania hatutoshangaa serikali ya Bujumbura siku wanaodaiwa kuwa majizi wakaja kusema Serikali haitakiwi kufanya biashara, hivyo wameamua waalike wawekezaji watoe huduma ya umeme. Kumbe lengo ni kuliua shirika la umeme, ili wafanye biashara moja kwa moja.