Anaupiga mwingi sanaMajinga chadema yanasema anaupiga mwingi
Mimi nimelipia kodi ya majengo kwenye ofisi za TRA mwezi January mwaka huu na risiti ninayo,Sasa mmetangaza kukusanya Kodi ya majengo kupitia LUKU, mifumo hii miwili ya Tanesco na TRA inaweza kugundua kuwa mnanichaji mara mbili? Huu si ni wizi wa kitaasisi ulioidhinishwa na Bunge?.Shirika Umeme nchini (#TANESCO) limesema Wanachi hawataweza kununua umeme wa chini ya Tsh. 2,000 kwa mwezi huu
Limesema ni ili Wananchi waweze kulipa kodi ya majengo ya mwezi Julai (Tsh. 1,000) na Agosti (Tsh. 1,000)
Shirika hilo limefafanua kuwa Tarehe 20 Agosti ni kuanza kwa makato lakni kodi ni kwa ajili ya mwaka huu bajeti ambao umeanza mwezi Julai 2021
View attachment 1901215
Wakikujibu unitagMimi nimelipia kodi ya majengo kwenye ofisi za TRA mwezi January mwaka huu na risiti ninayo,Sasa mmetangaza kukusanya Kodi ya majengo kupitia LUKU, mifumo hii miwili ya Tanesco na TRA inaweza kugundua kuwa mnanichaji mara mbili? Huu si ni wizi wa kitaasisi ulioidhinishwa na Bunge?.
Tayari wanakataNapendekeza kila mtanzania akatwe 1,000 kila mwezi kama kodi ya kumiliki laini. Hii itaongeza mapato ya nchi
Majinga chadema yanasema anaupiga mwingi