$bilioni 50Weka dau
wapo sasa wafanye niniUyui hamna takukuru?
Koma we!!Shirika la umeme Tanzania liko hoi kutokana mgawo mkubwa unaoendelea. wafanyakazi wake wamekuwa wanapenda rushwa kupitiliza.
wakati Nchi ikiwa kwenye mgao mzito wa umeme mpaka kero wenyewe wanawaza kuiba tuuu.
mfano wilaya uyui kila kitu lazima utoe rushwa ukitaka kupimiwa utoe rushwa, ukitaka kufungiwa umeme utoe rushwa. Kuanzia meneja mkoa, hadi mawilayani wote wamekuwa ni rushwa tuuu. hupati huduma bila rushwa
Nashukuru sana KWA kuandika!!Shirika la umeme Tanzania liko hoi kutokana mgawo mkubwa unaoendelea. wafanyakazi wake wamekuwa wanapenda rushwa kupitiliza.
wakati Nchi ikiwa kwenye mgao mzito wa umeme mpaka kero wenyewe wanawaza kuiba tuuu.
Mfano wilaya uyui kila kitu lazima utoe rushwa ukitaka kupimiwa utoe rushwa, ukitaka kufungiwa umeme utoe rushwa.
Kuanzia meneja mkoa, hadi mawilayani wote wamekuwa ni rushwa tuuu. hupati huduma bila rushwa
ni hatariNashukuru sana KWA kuandika!!
Hii ndio jf na ndio kazi yake!!
Umeme umekua kama dozi ya mgonjwa!!
Heri wenye mamlaka wachukue hatua!!
Nchi ipo gizani!!
hivi umeona madudu yaliyomo ndani mfano kgm tanesco wanashindana kuuza mafuta ya jeneretamnaharibu mambo wnyewe alafu mnataka mbinafsishe ili mle 10%