TANESCO imeoza ibinafsishwe

TANESCO imeoza ibinafsishwe

Uyui Yetu

Member
Joined
Aug 4, 2023
Posts
25
Reaction score
25
Shirika la umeme Tanzania liko hoi kutokana mgawo mkubwa unaoendelea. wafanyakazi wake wamekuwa wanapenda rushwa kupitiliza.

wakati Nchi ikiwa kwenye mgao mzito wa umeme mpaka kero wenyewe wanawaza kuiba tuuu.

Mfano wilaya uyui kila kitu lazima utoe rushwa ukitaka kupimiwa utoe rushwa, ukitaka kufungiwa umeme utoe rushwa.

Kuanzia meneja mkoa, hadi mawilayani wote wamekuwa ni rushwa tuuu. hupati huduma bila rushwa
 
mfano wilaya uyui kila kitu lazima utoe rushwa ukitaka kupimiwa utoe rushwa, ukitaka kufungiwa umeme utoe rushwa. Kuanzia meneja mkoa, hadi mawilayani wote wamekuwa ni rushwa tuuu. hupati huduma bila rushwa
Koma we!!

Management isimamiwe vizuri kuleta TIJA.

Trilions of money Nchi imekopa, walipaji ni sie,

Iweje Kampuni libinafsishwe, sisi ndo tuwalipie mkopo,

Potelea mbali na Hila zako.
 
We ni mjinga

Km serkali haiwezi kuendesha vitu vya muhimu km Tanesco, bandari,maji,nk

Ujue hiyo serkali imeanguka! Ijiuzulu wenye uwezo wa kusimamia washke hatamu
 
Kubinafsisha haiwez taasisi kuwa mwarobaini hapa kwani tatzo ni upatikanaj wa umeme au utendaj mbovu wa taasisi?
 
mnaharibu mambo wnyewe alafu mnataka mbinafsishe ili mle 10%
 
Mkuu nadhani Uyui inachukua nafasi ya pili baada ya Morogoro. Hapa pameoza
 
Shirika la umeme Tanzania liko hoi kutokana mgawo mkubwa unaoendelea. wafanyakazi wake wamekuwa wanapenda rushwa kupitiliza.

wakati Nchi ikiwa kwenye mgao mzito wa umeme mpaka kero wenyewe wanawaza kuiba tuuu.

Mfano wilaya uyui kila kitu lazima utoe rushwa ukitaka kupimiwa utoe rushwa, ukitaka kufungiwa umeme utoe rushwa.

Kuanzia meneja mkoa, hadi mawilayani wote wamekuwa ni rushwa tuuu. hupati huduma bila rushwa
Nashukuru sana KWA kuandika!!

Hii ndio jf na ndio kazi yake!!

Umeme umekua kama dozi ya mgonjwa!!

Heri wenye mamlaka wachukue hatua!!

Nchi ipo gizani!!
 
Tume ya rais ya kurekebisha mashirika ya uma iliyokuwa chini ya marehemu George Mbowe, ilikuwa na nia ya kuliuza Shirika hilo kubwa miaka ya 90, lakini imeshindikana.
Kwakuwa ukiuza TANESCO ni lazima uuze na vyanzo vyake vya kuzalisha umeme yakiwemo mabwawa yake (Hydropower dam).

Maji yanayozalisha umeme yanaletwa na mito.
Maji hayo yanapatikana kwa mvua, mvua inategemea misitu.
Kutokana na mnyororo huo, wazee wale waliogopa kuligusa, maana kulikuwa na hatari mwekezaji baada kumilikishwa mabwawa pia angejimilikisha mito na misitu inayosababisha mvua ili azalishe umeme wa uhakika.
Wazee waliona nchi ingeingia kwenye mkanganyiko wa kugombea maji na misitu baina ya wananchi na mwekezaji wa TANESCO.

Kwa sasa tuendelee kupambana na wazawa wenzetu waliokabidhiwa Shirika hilo watupatie huduma zinazoeleweka.
 
Back
Top Bottom