majebsmafuru
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 454
- 636
Pesa ya Wakili ungenunuwa stabilizer na fridge guard wala usingetokwa na mapovu Saa hizi.TANESCO enough is enough, tutakutana mahakamani baada ya kufanikiwa kupata wadau na kufungua kesi ya madai aina ya (class act)!
Fridge imekufa kwa ukataji umeme HOVYO!
Radio, ya kuchaji, tv, simu, vitoweo vimeoza mpaka tumeamua kununuwa na kula vya siku baada ya siku.
Kazi zangu na za mama watoto kudoda hasa zile za working from home, watoto kutokumaliza homework, kupiga pasi nk nk
Tumechoka.
Na liwe na liwalo!
ENOUGH IS ENOUGH
TANESCO !
😃😃😃😃Pesa ya Wakili ungenunuwa stabilizer na fridge guard wala usingetokwa na mapovu Saa hizi.
KWa conditions hizi huyu hatoboi. Anadhani kushitaki ni suala rahisi rahisi tu.Hata usiposhinda, utaweka ufahamu kwa umma.
Hakikisha.
1. Jengo hilo lina kibali cha ujenzi.
2. Wiring ilifanywa na Fundi ambaye ni Authorized by Tanesco.
3. Wiring systems ni Up-to-date & Not Counterfeits.
4. Kifaa kilichoungua ni Genuine na kina Risiti ya EFD ya Manunuzi.
All the best!
Wabongo vichwa maji sana,sasa badala ya kumuunga mkono mleta uzi ktk kuiwajibisha Taasisi mbovu ya Serikali nyie mnamkatisha tamaa.Akifanikiwa ni manufaa kwa wote.KWa conditions hizi huyu hatoboi. Anadhani kushitaki ni suala rahisi rahisi tu.
Umeona eeehh?!Wabongo vichwa maji sana,sasa badala ya kumuunga mkono mleta uzi ktk kuiwajibisha Taasisi mbovu ya Serikali nyie mnamkatisha tamaa.Akifanikiwa ni manufaa kwa wote.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Ukisoma post yangu kwa utulivu, utagundua niko VERY POSITIVE na Move ya jamaa. Infact nimeonyesha faida ya kesi hii kuwa ITAAMSHA UFAHAMU KWA UMMA.Wabongo vichwa maji sana,sasa badala ya kumuunga mkono mleta uzi ktk kuiwajibisha Taasisi mbovu ya Serikali nyie mnamkatisha tamaa.Akifanikiwa ni manufaa kwa wote.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Mtanikumbuka hahaha ndiyo maana Makonda kavuma kama upepo wa kisulisuli hahahaha. Tuliwaambia Dkt Magufuli alikuwa kiongozi, umeme haukukatika mpaka majenereta yakakosa soko hahahahaTANESCO enough is enough, tutakutana mahakamani baada ya kufanikiwa kupata wadau na kufungua kesi ya madai aina ya (class act)!
Fridge imekufa kwa ukataji umeme HOVYO!
Radio, ya kuchaji, tv, simu, vitoweo vimeoza mpaka tumeamua kununuwa na kula vya siku baada ya siku.
Kazi zangu na za mama watoto kudoda hasa zile za working from home, watoto kutokumaliza homework, kupiga pasi nk nk
Tumechoka.
Na liwe na liwalo!
ENOUGH IS ENOUGH
TANESCO !
mhhh hapo hatoboi !!Hata usiposhinda, utaweka ufahamu kwa umma.
Hakikisha.
1. Jengo hilo lina kibali cha ujenzi.
2. Wiring ilifanywa na Fundi ambaye ni Authorized by Tanesco. i.e Uwe na Mkataba naye wa Kumpa kazi ya Wiring.
3. Wiring systems ni Up-to-date & Not Counterfeits.
4. Kifaa kilichoungua ni Genuine na kina Risiti ya EFD ya Manunuzi.
All the best!
Kwa umeme huu wa TANESCO mimi mpaka Stabilizer imeunguaPesa ya Wakili ungenunuwa stabilizer na fridge guard wala usingetokwa na mapovu Saa hizi.
Mimi nipo na mleta mada afungue kesi, kesi yake itatupa mwanga wengine, ni uthubutu wa Hali ya juu.Wabongo vichwa maji sana,sasa badala ya kumuunga mkono mleta uzi ktk kuiwajibisha Taasisi mbovu ya Serikali nyie mnamkatisha tamaa.Akifanikiwa ni manufaa kwa wote.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
HahahahahahahKwa umeme huu wa TANESCO mimi mpaka Stabilizer imeungua
Pesa ya Wakili ungenunuwa stabilizer na fridge guard wala usingetokwa na mapovu Saa hizi.