danhoport
JF-Expert Member
- May 20, 2020
- 1,984
- 4,502
Na pia awe ameandikisha vitu vyake vinavyotumia umeme kwa tanescoHata usiposhinda, utaweka ufahamu kwa umma.
Hakikisha.
1. Jengo hilo lina kibali cha ujenzi.
2. Wiring ilifanywa na Fundi ambaye ni Authorized by Tanesco. i.e Uwe na Mkataba naye wa Kumpa kazi ya Wiring.
3. Wiring systems ni Up-to-date & Not Counterfeits.
4. Kifaa kilichoungua ni Genuine na kina Risiti ya EFD ya Manunuzi.
All the best!