kasumbiresa
Member
- May 25, 2023
- 18
- 4
Binafsi hali hii ilinitokea, niliweka Elfu 11, nikapewa unit 14, mita yangu ni matumizi makubwa.TANESCO ilisema imeondoa service line lakini Cha kushangaza nimenunua umeme kwa miezi miwili wananikata Tsh. 6000, sijajua shida Nini, Ina maana siku hizi TANESCO haifuati miongozo ya wizara inafuata mambo yake?
Unajua Kuna vitu vingine tunaweza tukasema Magufuli alikuwa Bora upande wa matumizi ya rasilimali zetu ila mama anajisahau kama Rais.
Huyu ndio aliyewawekea hao jamaa makato?
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Huyu ndio aliyewawekea hao jamaa makato?
Halafu ina samehe bilioni 60 Zanzibar, kweli hili shirika ni shirika donor (dona kantre)TANESCO ilisema imeondoa service line lakini Cha kushangaza nimenunua umeme kwa miezi miwili wananikata Tsh. 6000, sijajua shida Nini, Ina maana siku hizi TANESCO haifuati miongozo ya wizara inafuata mambo yake?
Unajua Kuna vitu vingine tunaweza tukasema Magufuli alikuwa Bora upande wa matumizi ya rasilimali zetu ila mama anajisahau kama Rais.
Hatuna wa kutusemea Mkuu, tumebaki kama Yatima ndani ya Nchi yetu, huku wao wakipongezana kwa kulamba asari.Tanzania Nchi yangu ukikaaa huku tanesco ukikaaa kule Vodacom ukiacha Salio kwenye cm imepitiwa yote wanakuunganisha na mahuduma usiyoyaitaji
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tunaomba namba ya mita kwa ufuatiliaji zaidi.^OKTANESCO ilisema imeondoa service line lakini Cha kushangaza nimenunua umeme kwa miezi miwili wananikata Tsh. 6000, sijajua shida Nini, Ina maana siku hizi TANESCO haifuati miongozo ya wizara inafuata mambo yake?
Unajua Kuna vitu vingine tunaweza tukasema Magufuli alikuwa Bora upande wa matumizi ya rasilimali zetu ila mama anajisahau kama Rais.