Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli hata huku nilipo hakuna umeme,yaani waziri yupo bize kupanga watu wa kumsifia TwitterHuku Jpili hakukuwa na umeme na Leo tena hakuna umeme.
Hi wizara haihitaji waziri muuza sura inahitaji mtu wa kazi.
Hizo tozo badala ya kubooresha mnaharibu?
Tumerudi enzi za Kikwete.
Hata kwenye TANESCO walifeli umeisahau NETGROUP SOLUTION kuwa waliwahi kubinafishiwa TANESCO na Mkapa? Uakawashinda wakairudisha Kama ATC na TRC.Private sector ilifeli kwenye ATCL Ikafeli kwenye TRC,lakini wacha tuone
Wasukuma wamefanya Nini hapa? Siku hizi kutetea maslahi ya nchi unaitwa sukuma gang sawa mtuite tu Ila kwenye ufisadi tutadili na nyie Msoga gangSukuma Gang ndembendembe,kifo Cha Mende,mlalo,chaaaaaaaaaaaaaaaaaaali.
Kateni umeme mpendavyooooooo.
Çcm ni ukoo wa panya, hakuna asiyekuwa mpigaji kuanzia ikulu mpaka shinaniMafisadi walianza muda mrefu Sana kuila tanesco record zinaonyesha TANESCO ilianza kuliwa toka mwaka 1994.
Magufuli alipoingia akajaribu kuwaondoa mafisadi wote kuliteka shirika la TANESCO ingawa alikuwa anatumia nguvu ila kiasi alifanikiwa ingawa watu Kama Tundu Lissu walimshauri kwamba atengeneze Sheria zitakazodumu muda wote kwenye rasilimali za Nchi.
Kwa kujua atatawala milele aligoma na kujisemea atawashugulikia apendavyo na kweli aliwashughulikia .
Sasa hayupo yamerudi ndani ya shirika labda angemsikiliza Tundu Lissu juu ya kufuata mfumo wa Bolivia leo tungekuwa salama.
Walianza kuwatumia watu wanaotumbuliwa kuongea bungeni, Mnakumbuka kauli ya Nape kwamba serikali awaachie sector binafsi kuwekeza kwenye umeme? Jamaa alitaka Rufiji ijengwe na sector binafsi na wawauzie umeme tanesco.
Yaani turudie Yale Yale ya Symbion, Dowans, Richmond na IPTL!!
Leo January na Zito wakitumiwa na magege ya wezi na mafisadi wanataka kuuza hisa za tanesco shirika la umma ili umeme wa Nchi ulioshika usalama wa taifa uwe chini ya mafisadi ?
Waipangie Tanesco Bei ya umeme Kama wanavyotaka?
Vyanzo vyote vya umeme vilivyojengwa kuanzia utawala wa nyerere Leo viwe chini ya majamaa tu wengi wao Wala hata hawaishi nchini!!
Yaani hatujifunzi tu kutokana na makosa, sasahivi umeme umeanza kukatika katika hovyo tu na biashara za vijana mnajua zinategemea umeme!
Kuna maeneo unaamhiwa umeme unakatika mara 5 kwa siku Sasa najiuliza Yale majamaa yakiingia Tena tunapona ? Wakati yanaingia na mikakati ya kuagiza makotena ya Generator?
Vijana waliojiajiri na masaloon waliomaliza vyuo wanaishije!! Tuiombee TANESCO na Nchi.
Yaani ni ndembendembeeeeeWasukuma wamefanya Nini hapa? Siku hizi kutetea maslahi ya nchi unaitwa sukuma gang sawa mtuite tu Ila kwenye ufisadi tutadili na nyie Msoga gang
Safari hii Msoga gang tuko nanyi sambamba hamuwezi kuturejesha kwenye IPTL kwa hoja dhaifu Kama hizo.Yaani ni ndembendembeeeee
Genge lenye nguvu kubwa kuliko serikali? Nguvu ya genge hili inatokana na nini? Viongozi wa genge hili ni akina nani?Nasema hivi,kwa uelewa wangu hii nchi kuna genge kubwa na la hatari Sana lenye nguvu kubwa kuliko Serikali tunayoijua.Ndilo linaloyumbisha na kufukarisha nchi.Ni mfano wa MAFIA au YAKUZA.Kiongozi pekee aliyethubutu kulishughulikia genge hili na kufanikiwa kwa kiwango kikubwa ni Hayati JPM.Sasa hayupo tena mwenye jeuri hiyo.Wameshika hatamu kwa kasi ya tsunami.Tutarajie maumivu maradufu huko tuendako maana genge hili limepenya kila mahali.
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Karibuni Sana hii kolabo itakua Ni mlalooooSafari hii Msoga gang tuko nanyi sambamba hamuwezi kuturejesha kwenye IPTL kwa hoja dhaifu Kama hizo.
Mafisadi walianza muda mrefu Sana kuila tanesco record zinaonyesha TANESCO ilianza kuliwa toka mwaka 1994.
Magufuli alipoingia akajaribu kuwaondoa mafisadi wote kuliteka shirika la TANESCO ingawa alikuwa anatumia nguvu ila kiasi alifanikiwa ingawa watu Kama Tundu Lissu walimshauri kwamba atengeneze Sheria zitakazodumu muda wote kwenye rasilimali za Nchi.
Kwa kujua atatawala milele aligoma na kujisemea atawashugulikia apendavyo na kweli aliwashughulikia .
Sasa hayupo yamerudi ndani ya shirika labda angemsikiliza Tundu Lissu juu ya kufuata mfumo wa Bolivia leo tungekuwa salama.
Walianza kuwatumia watu wanaotumbuliwa kuongea bungeni, Mnakumbuka kauli ya Nape kwamba serikali awaachie sector binafsi kuwekeza kwenye umeme? Jamaa alitaka Rufiji ijengwe na sector binafsi na wawauzie umeme tanesco.
Yaani turudie Yale Yale ya Symbion, Dowans, Richmond na IPTL!!
Leo January na Zito wakitumiwa na magege ya wezi na mafisadi wanataka kuuza hisa za tanesco shirika la umma ili umeme wa Nchi ulioshika usalama wa taifa uwe chini ya mafisadi ?
Waipangie Tanesco Bei ya umeme Kama wanavyotaka?
Vyanzo vyote vya umeme vilivyojengwa kuanzia utawala wa nyerere Leo viwe chini ya majamaa tu wengi wao Wala hata hawaishi nchini!!
Yaani hatujifunzi tu kutokana na makosa, sasahivi umeme umeanza kukatika katika hovyo tu na biashara za vijana mnajua zinategemea umeme!
Kuna maeneo unaamhiwa umeme unakatika mara 5 kwa siku Sasa najiuliza Yale majamaa yakiingia Tena tunapona ? Wakati yanaingia na mikakati ya kuagiza makotena ya Generator?
Vijana waliojiajiri na masaloon waliomaliza vyuo wanaishije!! Tuiombee TANESCO na Nchi.
Tutajie ufisadi uliofanyika kipindi Cha Magufuli,sio kusema tu toa ushahidi.Kwani lini Tanesco aliwahi kuwa huru na ufisadi?
Tutajie ufisadi uliofanyika kipindi Cha Magufuli,sio kusema tu toa ushahidi.
Wakati mwingine acha ujinga wakoUfisadi haujawai kuisha TANESCO hata awamu ya mwendazake ulikuwepo tena wa kutisha. Kila awamu inakuja na MAFISADI wake ila kinachofanyika ni kuwabrain wash WADANGANYIKA kwamba tulikuwa tunaibiwa sana.
Unaulizwa hili unajibu lile!!!!!!! Wewe unajua 1.5 T wewe, kazi kubwabwaja tuKwani kipindi paymaster mtoto wa dada sicho kile kile chenye 1.5tr/- za Assad, viwanja vya chato, madege yasiyonunuliwa kwa utaratibu, waziri wa nishati mtoto wa nyumbani nk?
Hadi hapo usidhani nimesahau ya madaraja ya kigongo busisi na wale maofisa Tanroads wa milele waliokuwa hawastaafu.
Utakuwa umetenda haki pia usiposahau kuna na nadudu mengine yasiyo kifani huku:
View attachment 1973092
Lini tumewahi kuwa nafuu sie?
Mpuuzi huyo mdharau tuTutajie ufisadi uliofanyika kipindi Cha Magufuli,sio kusema tu toa ushahidi.
Umeandika pasipo kuweka ushahidi wowote wa maana (tangible proof) nadhani hii ni kusoma na kuiacha kama ilivyo. Imekaa kizandiki na kinafiki, ni siasa zile zile za kushambulia mtu badala ya kuja na hoja zenye kueleweka.Mafisadi walianza muda mrefu Sana kuila tanesco record zinaonyesha TANESCO ilianza kuliwa toka mwaka 1994.
Magufuli alipoingia akajaribu kuwaondoa mafisadi wote kuliteka shirika la TANESCO ingawa alikuwa anatumia nguvu ila kiasi alifanikiwa ingawa watu Kama Tundu Lissu walimshauri kwamba atengeneze Sheria zitakazodumu muda wote kwenye rasilimali za Nchi.
Kwa kujua atatawala milele aligoma na kujisemea atawashugulikia apendavyo na kweli aliwashughulikia .
Sasa hayupo yamerudi ndani ya shirika labda angemsikiliza Tundu Lissu juu ya kufuata mfumo wa Bolivia leo tungekuwa salama.
Walianza kuwatumia watu wanaotumbuliwa kuongea bungeni, Mnakumbuka kauli ya Nape kwamba serikali awaachie sector binafsi kuwekeza kwenye umeme? Jamaa alitaka Rufiji ijengwe na sector binafsi na wawauzie umeme tanesco.
Yaani turudie Yale Yale ya Symbion, Dowans, Richmond na IPTL!!
Leo January na Zito wakitumiwa na magege ya wezi na mafisadi wanataka kuuza hisa za tanesco shirika la umma ili umeme wa Nchi ulioshika usalama wa taifa uwe chini ya mafisadi ?
Waipangie Tanesco Bei ya umeme Kama wanavyotaka?
Vyanzo vyote vya umeme vilivyojengwa kuanzia utawala wa nyerere Leo viwe chini ya majamaa tu wengi wao Wala hata hawaishi nchini!!
Yaani hatujifunzi tu kutokana na makosa, sasahivi umeme umeanza kukatika katika hovyo tu na biashara za vijana mnajua zinategemea umeme!
Kuna maeneo unaamhiwa umeme unakatika mara 5 kwa siku Sasa najiuliza Yale majamaa yakiingia Tena tunapona ? Wakati yanaingia na mikakati ya kuagiza makotena ya Generator?
Vijana waliojiajiri na masaloon waliomaliza vyuo wanaishije!! Tuiombee TANESCO na Nchi.
Ameanza kwenye bodi kuweka maharage, majaa, gachuma na yale majina walituumiza huko nyuma ili kuja kumalizia kuhamisha mali za umma kua zao binafsi.Mafisadi walianza muda mrefu Sana kuila tanesco record zinaonyesha TANESCO ilianza kuliwa toka mwaka 1994.
Magufuli alipoingia akajaribu kuwaondoa mafisadi wote kuliteka shirika la TANESCO ingawa alikuwa anatumia nguvu ila kiasi alifanikiwa ingawa watu Kama Tundu Lissu walimshauri kwamba atengeneze Sheria zitakazodumu muda wote kwenye rasilimali za Nchi.
Kwa kujua atatawala milele aligoma na kujisemea atawashugulikia apendavyo na kweli aliwashughulikia .
Sasa hayupo yamerudi ndani ya shirika labda angemsikiliza Tundu Lissu juu ya kufuata mfumo wa Bolivia leo tungekuwa salama.
Walianza kuwatumia watu wanaotumbuliwa kuongea bungeni, Mnakumbuka kauli ya Nape kwamba serikali awaachie sector binafsi kuwekeza kwenye umeme? Jamaa alitaka Rufiji ijengwe na sector binafsi na wawauzie umeme tanesco.
Yaani turudie Yale Yale ya Symbion, Dowans, Richmond na IPTL!!
Leo January na Zito wakitumiwa na magege ya wezi na mafisadi wanataka kuuza hisa za tanesco shirika la umma ili umeme wa Nchi ulioshika usalama wa taifa uwe chini ya mafisadi ?
Waipangie Tanesco Bei ya umeme Kama wanavyotaka?
Vyanzo vyote vya umeme vilivyojengwa kuanzia utawala wa nyerere Leo viwe chini ya majamaa tu wengi wao Wala hata hawaishi nchini!!
Yaani hatujifunzi tu kutokana na makosa, sasahivi umeme umeanza kukatika katika hovyo tu na biashara za vijana mnajua zinategemea umeme!
Kuna maeneo unaamhiwa umeme unakatika mara 5 kwa siku Sasa najiuliza Yale majamaa yakiingia Tena tunapona ? Wakati yanaingia na mikakati ya kuagiza makotena ya Generator?
Vijana waliojiajiri na masaloon waliomaliza vyuo wanaishije!! Tuiombee TANESCO na Nchi.
Ndio tena mara millioni ili kulipiza kisasi cha kupoteza miaka sita iliyopita kutokana na kuhangaika na kesi za uhujumu uchumiMafisadi walianza muda mrefu Sana kuila tanesco record zinaonyesha TANESCO ilianza kuliwa toka mwaka 1994.