TANESCO inarudi mikononi mwa mafisadi?

Huyu Msoga Gang ,kwann hana huruma?
 
Wakati mwingine acha ujinga wako

Wewe ndiyo uache UJINGA kwa kuamini kwamba ufisadi uliisha...Sisi ndio wataalam tunajua issue nyingi sana , kawaulize TAKUKURU wakupe mafaili ya Staffs wa TANESCO walioingia kwenye 18 kwa RUSHWA.

Rushwa Inatembea na ufisadi unaendelea kama kawaida hautaisha na Hautokuja Kuisha hata Mkurugenzi wa TANESCO upewe WEWE.
 
Mimi kama mimi siwezi kuteuliwa kuwa kiongozi wa taasisi yoyote kutokana na umri wangu! Nyie tunawasubiri muwawajibishe mafisadi
 
Kila kitu mnawaza hasi tuu sasa ni vyema mbakie hivyo hivyo na akili zenu hasa,tuwasaidiaje sasa? Acheni tufanye Kazi.
Sisi watanzania hatujui tunataka nini

Tushike lipi!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ova
 
Usicheze na february Marope bana, hizo ndio zake,waulize watu wa migodini na viwanda alipokuwa ofisi ya Danganya.
 
ufisadi na rushwa haviwezi kuisha bt rushwa na ufisadi unaosimamisha huduma za kijamii ni mbaya zaidi na kwa sasa ndo tunaupitia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…