Ni miaka sasa bado tunasumbuliwa na ukosefu wa umeme wa uhakika. Tatizo hili likekuwa sugu. Mamlaka husika imekaa kimya utadhani swala hili haliwahusu.
Kuna fahari gani kwa wafanyakazi wa TANESCO kwenda ofisini/kazini kila siku, kupata mshahara kila mwezi na wakati kutoa huduma imekuwa changamoto?
Ili kuleta ufanisi katika kutoa huduma bora na zenye uhakika kwa wananchi nashauri mashirika haya kama Tanesco, Dawasa ziendeshwe kibiashara na serikali isimamie tu kuhakikisha huduma zinatolewa na bei zinakuwa rafiki.