KERO Responded TANESCO Iringa Mjini wanakata umeme laini ya viwandani kila siku ifikapo jioni, hawatoi sababu maalum

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kwa takribani wiki 2 mfululizo na zaidi, TANESCO Iringa Mjini wanakata umeme laini ya Viwandani na husema ni DHARURA na HITILAFU, kila ifikapo Saa 12 Jioni na kurudisha umeme Saa 3 au 4 Usiku, imekuwa kama mgao wa kimyakimya.

Bei ya diesel imepanda, matumizi ya Generator inakuwa ni gharama kubwa, hivyo kusababisha hasara katika uzalishaji. Tunaomba watu husika waingilie hili suala na kuzuia hii kitu mara moja.

====

Majibu ya TANESCO - TANESCO yatolea ufafanuzi wa Kero zilizowasilishwa na Wadau kutoka JamiiForums, hatua za maboresho zimechukuliwa
 
VIWANDA IRINGA VIPO SEHEMU GANI?
SI KIPO KIMOJA TU CHA IVORI? VINGINE VYOTE VILIKUFA.
 
Habari, Ndugu Mteja.
Kwa takribani wiki 2 mfululizo na zaidi, TANESCO Iringa Mjini wanakata umeme laini ya Viwandani na husema ni DHARURA na HITILAFU, kila ifikapo Saa 12 Jioni na kurudisha umeme Saa 3 au 4 Usiku, imekuwa kama mgao wa kimyakimya.

Bei ya diesel imepanda, matumizi ya Generator inakuwa ni gharama kubwa, hivyo kusababisha hasara katika uzalishaji. Tunaomba watu husika waingilie hili suala na kuzuia hii kitu mara moja.

====

Majibu ya TANESCO - TANESCO yatolea ufafanuzi wa Kero zilizowasilishwa na Wadau kutoka JamiiForums, hatua za maboresho zimechukuliwa
Habari, ndugu mteja.

Kwanza Asante sana kwa kutufikishia taarifa hii na pia pole kwa kuchelewa kurejea changamoto yako, tunaelewa kuwa changamoto hizi zinaweza kuathiri shughuli za uzalishaji na kusababisha usumbufu kwa wateja wetu.

Taarifa uliyotushirikisha tumeipokea na tutaifikisha kwa idara husika kwa ajili ya kufuatiliwa na kufanyiwa kazi kwa mujibu wa taratibu. ^FL
 
Back
Top Bottom