Ndumugabho
Member
- Jan 11, 2014
- 5
- 13
Toka mwezi wa tano watu wanaomba umeme lakini hakuna surveyor kuja kuangalia wiring na kutoa control namba. Ukijaribu kuuliza hupewi ushirikiano kabisa. Sasa mtu unajiuliza hawa jamaa wana shida gani ila hupati majibu.
MREJESHO WA TANESCO 👇🏻
Asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tutumie namba ya ombi lako kupitia ujumbe wa faragha (Inbox) ili tuweze kukusaidia zaidi.^RS
MREJESHO WA TANESCO 👇🏻
Habari ndugu mteja.Toka mwezi wa tano watu wanaomba umeme lakini hakuna surveyor kuja kuangalia wiring na kutoa control namba. Ukijaribu kuuliza hupewi ushirikiano kabisa. Sasa mtu unajiuliza hawa jamaa wana shida gani ila hupati majibu
Asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo, tafadhali tutumie namba ya ombi lako kupitia ujumbe wa faragha (Inbox) ili tuweze kukusaidia zaidi.^RS