TANESCO Kilimanjaro yatoa ratiba ya matengenezo ya miundombinu ya umeme

TANESCO Kilimanjaro yatoa ratiba ya matengenezo ya miundombinu ya umeme

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Salaam Wakuu,

TANESCO kilimanjaro imetoa ratiba ya matengenezo ya miundo mbinu na namna ambavyo mgao utafanyika kuanzia Februari 1 mpaka Februari 10. Tazama ratiba hii katika picha hizi hapa chini.


1643642996688.png

1643643028666.png

1643643080730.png

1643643106985.png

1643643135365.png

1643643192756.png

1643643227768.png



PIA SOMA: TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima (28/01/2022)
 

Attachments

Hao wameshindwa kazi liuzwe hili shirika, hata TBL Ingekuwa ya serikali bia tungepata kwa mgao
 
Ndio utaratibu mpya tunaopitia kama taifa, ratiba za mgao wa umeme kila mkoa, huyu waziri anataka kutuaminisha baada ya hayo matengenezo umeme hautasumbua tena?

Kwanini mwanzo walisingizia tatizo ni upungufu wa maji kama miundombinu pia ilikuwa imechoka? si wangesema tatizo lile lilisababishwa na upungufu wa maji na miundombinu kuchoka?

Baada ya hii sababu wasije na sababu nyingine, wanaonekana wanahamisha magoli tu
 
Back
Top Bottom