Ndio utaratibu mpya tunaopitia kama taifa, ratiba za mgao wa umeme kila mkoa, huyu waziri anataka kutuaminisha baada ya hayo matengenezo umeme hautasumbua tena?
Kwanini mwanzo walisingizia tatizo ni upungufu wa maji kama miundombinu pia ilikuwa imechoka? si wangesema tatizo lile lilisababishwa na upungufu wa maji na miundombinu kuchoka?
Baada ya hii sababu wasije na sababu nyingine, wanaonekana wanahamisha magoli tu