Huku Njombe/Makambako ndiyo Usiseme kabisa Watu tumelipia Service Line tangu mwezi wa tatu Lakini ukifuatilia unaambiwa hakuna nyaya, nguzo na mita. Huu ni ujinga gani kama shirika linashindwa kununua hata nguzo zinazopatikana hapahapa nchini kuna haja gani ya kuchukua hela ya wananchi wakati huduma hakuna? Bandikeni Tangazo la kuwa Hampokei Order mpaka vifaa vitakapopatikana la sivyo mnajimaliza wenyewe, Nchi ya kitu kidogo hii, Mimi nalalamika lakini kuna jamaa yangu yeye katoa Rushwa siku hiyohiyo na Umeme kafungiwa, na wakati yeye Kalipia mwezi wa saba. Je huku si kuchezea akili zetu?